Dhehebu la Shree Hindu laadhimisha Miaka 60 kwa kuonyesha miungu wao na kuliombea Taifa

Waziri2025

Member
Sep 2, 2019
99
250
Dhehebu la dini ya Shree Hindu Union jijini Arusha limeadhimisha miaka 60 ya kuanzishwa kwake kwa kufanya maandamano ya amani ya kuabudu miungu wao.

Maandamano hayo yalikuwa ya kuitembeza hadharani miungu wao wapya wenye muundo wa sanamu ili kuombea amani Tanzania na dunia nzima huku waumini wa madhebebu hayo wakichota baraka za miungu hao wanaoabudiwa na dini hiyo.

Akiongea katika maadhimisho hayo yaliyofanyika katika dhehebu la Shrii Hindu,Deepyen Barmeda ameelezea malengo ya maadhimisho hayo na kusema kuwa wametimiza miaka 60 kwa kutoa miungu yao kwenye misikiti na kuipitisha katika maeneo mbalimbali ya jiji la Arusha ikiwa ni sehemu ya imani yao.

"Maandamano yetu yemelenga kusherehekea miaka 60 kuandishwa kwa dhehebu letu na tumeonyesha miungu wetu ambao ni sanamu mpya ambazo baadae tutaziweka kwenye misikiti yetu". Amesema Deepyen

Mmoja ya waumini wa dhehebu hilo, Manish Chavda amesema lengo la maadhimisho hayo ni kuwa kumbusha kizazi kinacho zaliwa kiweze kutambua desturi za dhehebu hilo pamoja na kuiombea nchi amani na jamii yote iwe pamoja kwani kwa sasa nchi inaelekea kwenye Uchaguzi Mkuu .

Naye Mwenyekiti wa kamati ya maazimisho, Hermal Sachdev amesema kufanya mazimisho hayo ni kwaajili ya kuleta heshima kwa mji wa Arusha ili kila mtu aweze kuamini kuwa Mungu ni moja kwa kila raia.

Amesema Maandamano hayo yamelenga kuomba amani kwa Taifa ili kuleta undugu na umoja katika jamii yetu na kuombea amani katika Uchaguzi Mkuu wa Taifa ili umalizike kwa amani.

Ends...
 
Attachments

  • IMG-20200218-WA0030.jpeg
    File size
    85.8 KB
    Views
    0

kunguni wa ulaya

JF-Expert Member
Mar 16, 2014
4,111
2,000
Dhehebu la dini ya Shree Hindu Union jijini Arusha limeadhimisha miaka 60 ya kuanzishwa kwake kwa kufanya maandamano ya amani ya kuabudu miungu wao.

Maandamano hayo yalikuwa ya kuitembeza hadharani miungu wao wapya wenye muundo wa sanamu ili kuombea amani Tanzania na dunia nzima huku waumini wa madhebebu hayo wakichota baraka za miungu hao wanaoabudiwa na dini hiyo.

Akiongea katika maadhimisho hayo yaliyofanyika katika dhehebu la Shrii Hindu,Deepyen Barmeda ameelezea malengo ya maadhimisho hayo na kusema kuwa wametimiza miaka 60 kwa kutoa miungu yao kwenye misikiti na kuipitisha katika maeneo mbalimbali ya jiji la Arusha ikiwa ni sehemu ya imani yao.

"Maandamano yetu yemelenga kusherehekea miaka 60 kuandishwa kwa dhehebu letu na tumeonyesha miungu wetu ambao ni sanamu mpya ambazo baadae tutaziweka kwenye misikiti yetu". Amesema Deepyen

Mmoja ya waumini wa dhehebu hilo, Marnish Chavuda amesema lengo la maadhimisho hayo ni kuwa kumbusha kizazi kinacho zaliwa kiweze kutambua desturi za dhehebu hilo pamoja na kuiombea nchi amani na jamii yote iwe pamoja kwani kwa sasa nchi inaelekea kwenye Uchaguzi Mkuu .

Naye Mwenyekiti wa kamati ya maazimisho, Hemali Sachidevi amesema kufanya mazimisho hayo ni kwaajili ya kuleta heshima kwa mji wa Arusha ili kila mtu aweze kuamini kuwa Mungu ni moja kwa kila raia.

Amesema Maandamano hayo yamelenga kuomba amani kwa Taifa ili kuleta undugu na umoja katika jamii yetu na kuombea amani katika Uchaguzi Mkuu wa Taifa ili umalizike kwa amani.

Ends...

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanasali kwenye miskiti??
Wanasema Mungu ni mmoja? Mbona hapo nawaona wao Mungu wao sio mmoja?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TODAYS

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
7,305
2,000
Hapo ndipo ujifunze kwa nini mkoloni mzungu au mwarabu alishindwa kupeleka imani yao kwa hao watu ila huku kwenu Afrika walifanikiwa na leo huambiwi kitu kuhusu Ukristo au Islam na Mungu usiyemfaham😔!!.

Kikubwa hao jamaa wana adabu sana fuatilia mpaka biashara zao.
 
UHURU JR

JF-Expert Member
Jul 24, 2014
9,790
2,000
Hapo ndipo ujifunze kwa nini mkoloni mzungu au mwarabu alishindwa kupeleka imani yao kwa hao watu ila huku kwenu Afrika walifanikiwa na leo huambiwi kitu kuhusu Ukristo au Islam na Mungu usiyemfaham😔!!.

Kikubwa hao jamaa wana adabu sana fuatilia mpaka biashara zao.
Mbona ulaya hamsemi hivyo maana nao si walikuwa na imani zao kabla ya ukristo?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom