Dhana ya Wanawake Kuuza Miili Yao

Jul 28, 2013
72
17
Awali ya yote nawatakia siku njema ya leo. Leo nataka kuongelea, dhana ya wanawake kuuza miili yako. Dhana hii ni pana sana ndiyo maana nimeona ni vyema nipate mawazo kutoka kwa wanaJF.

Kwanza,naomba tukubaliane kuwa siku hizi mwanaume akimtaka mwanamke kujenga mahusiano, yafuatayo hujengeka kichwani mwa mwanamke,
(1). Amepata mtu wa kumtegemea, aidha mume wake baadaye ama ni mtu wa kutatua shida zake zote
(2). Amepata chanzo cha kipato. Kwa dhana hii,ndiyo maana wanawake wengi wana wapenzi zaidi ya mmoja kwa dhana ya kuongeza kipato.
(3). Mwanaume atampa chochote katika kujenga mahusiano yao( kumhonga), sana sana ni fedha. kwa wale wasiokuwa na soni wengi wao hudiriki kutamka kabisa, unakiasi gani kwa tendo moja...
(4) kujenga mahusiano haya ni ajira, na mwanamme ndiyo mwenye haki kutoa na kugharamia mitoko yote(outs), sikukuu, n.k, kisa wewe anakuita mpenzi!

kwa dhana hizo, mwanamke anaweza kutekeleza akiwa nyumbani kwake, shuleni au kokote. Lakini mwanamke akiwa shujaa, akaenda mitaani kwenda kutekeleza haya wanayoyatekeleza wengine "indirectly" anaitwa malaya, kwanini, wakati wote lengo lao moja? tatizo uwanja na fursa!

"indirectly" anaitwa malaya, kwanini, wakati wote lengo lao moja? tatizo uwanja na fursa!

Ukweli mtupu panya ni panya hata awe panya buku bado ni panya.
 
hamnaga papuchi ya bure ata siku moja zote zipo for sale...wewe ushukuru tuu kuwa wao wamefikia hatua ya kutuuzia kama bidhaa....wangekuwa wanaziheshimu papuchi zao mwana mbona revola zisingetosha
 
Duh kazi kweli kweli!!
 
Hivi dhana maana yake ni nini?

Maana ya dhana ni kama ifuatavyo:
DHANA

1

icon-permalink.gif
nomino

concept

2
icon-permalink.gif
nomino

idea

Awali ya yote nawatakia siku njema ya leo. Leo nataka kuongelea, dhana ya wanawake kuuza miili yako. Dhana hii ni pana sana ndiyo maana nimeona ni vyema nipate mawazo kutoka kwa wanaJF.

Kwanza,naomba tukubaliane kuwa siku hizi mwanaume akimtaka mwanamke kujenga mahusiano, yafuatayo hujengeka kichwani mwa mwanamke,
(1). Amepata mtu wa kumtegemea, aidha mume wake baadaye ama ni mtu wa kutatua shida zake zote
(2). Amepata chanzo cha kipato. Kwa dhana hii,ndiyo maana wanawake wengi wana wapenzi zaidi ya mmoja kwa dhana ya kuongeza kipato.
(3). Mwanaume atampa chochote katika kujenga mahusiano yao( kumhonga), sana sana ni fedha. kwa wale wasiokuwa na soni wengi wao hudiriki kutamka kabisa, unakiasi gani kwa tendo moja...
(4) kujenga mahusiano haya ni ajira, na mwanamme ndiyo mwenye haki kutoa na kugharamia mitoko yote(outs), sikukuu, n.k, kisa wewe anakuita mpenzi!

kwa dhana hizo, mwanamke anaweza kutekeleza akiwa nyumbani kwake, shuleni au kokote. Lakini mwanamke akiwa shujaa, akaenda mitaani kwenda kutekeleza haya wanayoyatekeleza wengine "indirectly" anaitwa malaya, kwanini, wakati wote lengo lao moja? tatizo uwanja na fursa!

ungetanguliza neno "baadhi" ingekaa poa zaidi
 
Wapi ntapata papichi za kihindi na bei gani?

india.... kuhusu bei ina fluctuate kutokana na mahali!

kwa miji kama bombay na new delhi, bei ziko juu sana na sometimes wanachaji kwa dola ili kukabiliana na tatizo la inflation.

ila kwa vijijini kule kama prukadesh na kanjibay, bei ni average.

kuna unataka, sema tufanye importation.
 
me sikuzote huwa nawaonea sana huruma wanawake wanavyogongwa gongwa hovyo hadi mbunye zinakuwa siyo salama tena ni matapishi yaani hawa viumbe hawajui kula na vipofu kabisaa unakuta mdada anakazi yake nzuri lakini anamegeka ovyo ovyo tu
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom