Mwalimu Tanzania
Member
- Jul 28, 2013
- 72
- 17
Awali ya yote nawatakia siku njema ya leo. Leo nataka kuongelea, dhana ya wanawake kuuza miili yako. Dhana hii ni pana sana ndiyo maana nimeona ni vyema nipate mawazo kutoka kwa wanaJF.
Kwanza,naomba tukubaliane kuwa siku hizi mwanaume akimtaka mwanamke kujenga mahusiano, yafuatayo hujengeka kichwani mwa mwanamke,
(1). Amepata mtu wa kumtegemea, aidha mume wake baadaye ama ni mtu wa kutatua shida zake zote
(2). Amepata chanzo cha kipato. Kwa dhana hii,ndiyo maana wanawake wengi wana wapenzi zaidi ya mmoja kwa dhana ya kuongeza kipato.
(3). Mwanaume atampa chochote katika kujenga mahusiano yao( kumhonga), sana sana ni fedha. kwa wale wasiokuwa na soni wengi wao hudiriki kutamka kabisa, unakiasi gani kwa tendo moja...
(4) kujenga mahusiano haya ni ajira, na mwanamme ndiyo mwenye haki kutoa na kugharamia mitoko yote(outs), sikukuu, n.k, kisa wewe anakuita mpenzi!
kwa dhana hizo, mwanamke anaweza kutekeleza akiwa nyumbani kwake, shuleni au kokote. Lakini mwanamke akiwa shujaa, akaenda mitaani kwenda kutekeleza haya wanayoyatekeleza wengine "indirectly" anaitwa malaya, kwanini, wakati wote lengo lao moja? tatizo uwanja na fursa!