Dhana ya uhanithi na kukatika kwa kitovu.

Black jew

Senior Member
Sep 4, 2017
121
222
Toka nimepata akili kuna dhana tumejengewa kuwa mtoto akizaliwa ususani wa kiume ,basi shart mzazi mwangaloe kwa makin na kuwa kitovu kikikatika kisidondokee kweny uchochoro wa uboo.
Tafadhali naomba majib ya kiitalaam yaan kibailogia kitov kukatika kuna WiFi ipi anyopelekea mashine isifanye kazi????
 
Back
Top Bottom