Ungewaza mbele kidogo ungeikomboa akili Yako,watumishi ndio wateja wa biashara za mtaani ,ndio wanaotoa hela pale BOT kupitia mishahara kuzileta huku chini,wakineemeka ,watu kibao wananeemeka KWA kufanya biasharaMatatizo yaliyopo nchini ni makubwa kuliko wstumishi kuongezewa mshahara. Watumishi hawafii hata 1% ya watanzania wote. Ukiweka wategemezi wao hata useme kila mmoja ni 20 bado haifiki hata robo ya watanzania.
Hivyo hili kundi kubwa watanzania wanalotegemea na ambalo Lina 75% ya watanzania wote ndio la kufikiriwa sana
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app