Akili Pesa
JF-Expert Member
- Jun 18, 2014
- 616
- 854
Wakuu habari za wikiendi?
kwanin imejengeka ktk akili ya kila mwanajamii kuwa mwanamke ndiye anayebakwa? na mwanaume ndiye anayebaka? tujiulize hakuna mwanamke anayebaka? au hakuna mwanaume anayebakwa? tunaelewa vizuri kuhusu kubaka na kubakwa?
binafsi ninavyofahamu dhana hizi ni kuwa kubaka ni kitendo cha kumuingilia kingono "opposite sex" kwako bila ridhaa au makubaliano yake na wewe unayetenda kitendo hicho.
Na kubakwa ni kitendo cha kuingiliwa kingono na "opposite sex" kwako bila ridhaa yako na yeye anayetenda kitendo hicho.
sasa tujiulize kama dhana ni hiyo ni kweli wanawake ndio wabakwaji tu? wao sio wabakaji? au mwanaume ndio wabakaji tu wao sio wabakwaji vilevile tujiulize kwa jinsia zote humu ndani wakuu, je kwa dhana hii umebaka au kubakwa mara ngapi??
nb:
zingatia neno ridhaa ya kingono.
nawasilisha.
Sent using Jamii Forums mobile app