Dhana ya fukuzafukuza chadema itaangamiza chama

Kalinzi

Member
Nov 8, 2011
86
14
Wana jf,

Kutokana na kile kinachoendelea ndani ya CDM si ushujaa kwa kuwa kitendo cha kuwafukuza na kuwasimamisha viongozi katika chama inapelekea migogoro na migawanyiko mikubwa ndani ya chama.

Hii imekuwa na athari kubwa kwa chama ukizingatia kwamba chadema imeshafanya maamuzi magumu sana kwa baadhi ya viongozi wake wengi ikiwa ni pamoja na * Dk Aman Walid Kaburu/ alifukuzwa * Chama wangwe/ alisimamishwa uongozi mkamu/mwenyekiti Taifa *Estomih Mallah, diwani (Arusha) Alifukuzwa *John Bayo, diwani (Arusha) alifukuzwa *Reuben Ngowi, diwani (Arusha) alifukuzwa *charles Mpanda, diwani (Arusha) alifukuzwa *Rehema Mohammed, diwani (Arusha) alifukuzwa *Habiba Ally diwani (Mara) alifukuzwa *Miriam Daudi, diwani (Mara) alifukuzwa *Amani Mwipaja mwanasheria morogoro alifukuzwa *David Kafulila kiongozi makao makuu, alifukuzwa *Josephu kasamba, mwenyekiti BAVICHA Mbeya alifukuzwa *Cosmas Sanga katibu bavicha mbeya alifukuzwa *Allam Mwapamba, Baba mzazi wa Mtela mwapamba, alifukuzwa *Mtela Mwapamba kiongozi BAVICHA, ALIFUKUZWA *Julliana Shonza kiongozi Bavicha alifukuzwa *Zitto Kabwe Zuber amesimanishwa *Dk Kitila Mkumbo amesimamishwa, *Samsoni Mwigamba, amesimamishwa.

kutokana na takwimu hiyo ni kweli kuwa ni dhana ya uwajibikaji, pamoja na hayo ikumbukwe kuwa katika siasa za TANZANIA wengi wa wafuasi hawafuati SERA katika chama bali watu maarufu katika siasa (political figure) na chama bora cha siasa ni kile chenye wanachama wengi.

ANGALIZO: kutokana na idadi ya watu wanaofukuzwa katika chama kwenda na wafuasi walioingia katika siasa kwa kwa kufuata mkumbo wa wanasiasa fulani hivyo kwa mtizamo wangu suala la ZITTO na wenzake liangaliwe kwa umakini ili kuepusha athari ambazo zinazidi kujitokeza siku hadi siku kwani hata CUF , NCCR na TLP hawakupenda kufika hapa DEMOKRASIA YA KWELI NI KUTI KAVU
 
Wana jf kutokana na kile kinachoendelea ndani ya CDM si ushujaa kwa kuwa kitendo cha kuwafukuza na kuwasimamisha viongozi katika chama inapelekea migogoro na migawanyiko mikubwa ndani ya chama. hii imekuwa na athari kubwa kwa chama ukizingatia kwamba chadema imeshafanya maamuzi magumu sana kwa baadhi ya viongozi wake wengi ikiwa ni pamoja na * Dk Aman Walid Kaburu/ alifukuzwa * Chama wangwe/ alisimamishwa uongozi mkamu/mwenyekiti Taifa *Estomih Mallah, diwani (Arusha) Alifukuzwa *John Bayo, diwani (Arusha) alifukuzwa *Reuben Ngowi, diwani (Arusha) alifukuzwa *charles Mpanda, diwani (Arusha) alifukuzwa *Rehema Mohammed, diwani (Arusha) alifukuzwa *Habiba Ally diwani (Mara) alifukuzwa *Miriam Daudi, diwani (Mara) alifukuzwa *Amani Mwipaja mwanasheria morogoro alifukuzwa *David Kafulila kiongozi makao makuu, alifukuzwa *Josephu kasamba, mwenyekiti BAVICHA Mbeya alifukuzwa *Cosmas Sanga katibu bavicha mbeya alifukuzwa *Allam Mwapamba, Baba mzazi wa Mtela mwapamba, alifukuzwa *Mtela Mwapamba kiongozi BAVICHA, ALIFUKUZWA *Julliana Shonza kiongozi Bavicha alifukuzwa *Zitto Kabwe Zuber amesimanishwa *Dk Kitila Mkumbo amesimamishwa, *Samsoni Mwigamba, amesimamishwa. kutokana na takwimu hiyo ni kweli kuwa ni dhana ya uwajibikaji, pamoja na hayo ikumbukwe kuwa katika siasa za TANZANIA wengi wa wafuasi hawafuati SERA katika chama bali watu maarufu katika siasa (political figure) na chama bora cha siasa ni kile chenye wanachama wengi. ANGALIZO: kutokana na idadi ya watu wanaofukuzwa katika chama kwenda na wafuasi walioingia katika siasa kwa kwa kufuata mkumbo wa wanasiasa fulani hivyo kwa mtizamo wangu suala la ZITTO na wenzake liangaliwe kwa umakini ili kuepusha athari ambazo zinazidi kujitokeza siku hadi siku kwani hata CUF , NCCR na TLP hawakupenda kufika hapa DEMOKRASIA YA KWELI NI KUTI KAVU


Mjadala umeshafungwa.
 
inakuhusu nini?Waambie akina Nape wadeal na kuvua gamba kwanza.Umeawaambia CCM wasivue gamba?
 
wenye maneno machafu na busara 0 nawakaribisha kwa matusi, wenye busara wasome na kufanyia kazi
 
CCM ni CHAMA CHA WAISLAMU

Sekretariate ya Chama Cha Mapinduzi (CCM),

1. Mwenyekiti - Jakaya Kikwete - Muislamu
2. Katibu Mkuu - Abdulrahman Kinana - Muislamu
3. Naibu Katibu Bara - Mwigulu Nchemba - Muislamu
4. Naibu Katibu Viziwani - Vuai Ally Vuai - Muislamu
5. Katibu Itikani na Uenezi - Nape Nnauye - Muislamu (zamani mkristo)
6. Katibu wa NEC Siasa na uhusiano - Asha Migiro - Muislamu (Zamani mkristo)
7. Katibu wa NEC Uchumi na Fedha - Zakia Meghji - Muislamu
8. Katibu wa NEC Oganizesheni - Mohamed Seif Khatib - Muislamu

Tukija kwenye serikali nyadifa zote muhimu zimekamatwa na waislamu
1. Rais wa Nchi - Muislamu
2. Makamu wa Rais - Muislamu
3. Jaji Mkuu - Muislamu
4. Mkuu wa Usalama wa Taifa Muislamu
5. Mkuu wa Polisi - Muislamu
6. Waziri wa Ulinzi (wizara nyeti na muhimu) – Muislamu
7. Rais wa Zanzibar muislam
8. Makam wa Rais Zanzibar wote ni waislam

Wakuu wa Mikoa 65% ni Waislamu.
Wakuu wa Wilaya 80% ni waislamu
 
wana jf,

kutokana na kile kinachoendelea ndani ya cdm si ushujaa kwa kuwa kitendo cha kuwafukuza na kuwasimamisha viongozi katika chama inapelekea migogoro na migawanyiko mikubwa ndani ya chama.

Hii imekuwa na athari kubwa kwa chama ukizingatia kwamba chadema imeshafanya maamuzi magumu sana kwa baadhi ya viongozi wake wengi ikiwa ni pamoja na * dk aman walid kaburu/ alifukuzwa * chama wangwe/ alisimamishwa uongozi mkamu/mwenyekiti taifa *estomih mallah, diwani (arusha) alifukuzwa *john bayo, diwani (arusha) alifukuzwa *reuben ngowi, diwani (arusha) alifukuzwa *charles mpanda, diwani (arusha) alifukuzwa *rehema mohammed, diwani (arusha) alifukuzwa *habiba ally diwani (mara) alifukuzwa *miriam daudi, diwani (mara) alifukuzwa *amani mwipaja mwanasheria morogoro alifukuzwa *david kafulila kiongozi makao makuu, alifukuzwa *josephu kasamba, mwenyekiti bavicha mbeya alifukuzwa *cosmas sanga katibu bavicha mbeya alifukuzwa *allam mwapamba, baba mzazi wa mtela mwapamba, alifukuzwa *mtela mwapamba kiongozi bavicha, alifukuzwa *julliana shonza kiongozi bavicha alifukuzwa *zitto kabwe zuber amesimanishwa *dk kitila mkumbo amesimamishwa, *samsoni mwigamba, amesimamishwa.

Kutokana na takwimu hiyo ni kweli kuwa ni dhana ya uwajibikaji, pamoja na hayo ikumbukwe kuwa katika siasa za tanzania wengi wa wafuasi hawafuati sera katika chama bali watu maarufu katika siasa (political figure) na chama bora cha siasa ni kile chenye wanachama wengi.

Angalizo: Kutokana na idadi ya watu wanaofukuzwa katika chama kwenda na wafuasi walioingia katika siasa kwa kwa kufuata mkumbo wa wanasiasa fulani hivyo kwa mtizamo wangu suala la zitto na wenzake liangaliwe kwa umakini ili kuepusha athari ambazo zinazidi kujitokeza siku hadi siku kwani hata cuf , nccr na tlp hawakupenda kufika hapa demokrasia ya kweli ni kuti kavu
maamuzi yalishafanyika mnaota nini tena mnadhani chadema watabadilika tena na kumrudishia zitto uongozi?
 
Back
Top Bottom