DHANA YA DEMOKRASIA NA UTAWALA BORA NCHiNI TANZANIA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

DHANA YA DEMOKRASIA NA UTAWALA BORA NCHiNI TANZANIA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MGANGA WA KIENYEJI, Sep 11, 2012.

 1. MGANGA WA KIENYEJI

  MGANGA WA KIENYEJI JF-Expert Member

  #1
  Sep 11, 2012
  Joined: Sep 10, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  1.UFISADI

  2.Mgomo wa madaktari.

  3.Kichapo cha Ullimboka.

  4.Mgomo wa walimu.

  5.Waislamu kugomea zoezi la SENSA, na kulazimiswa kuandikwa chini ya mtutu wa bunduki hasa kwa kina mama na watoto, wengine kusekwa vituo vya polisi na kumiminiwa matusi dhidi ya dini yao wakati dodoso linasema, anaepaswa kujibu maswali ya SENSA ni mkuu wa kaya.

  6.Mauji ya Mwandishi wa habari, Daudi Mwangosi na

  7.Mfumuko wa bei kwa kilia kitu, hasa nishati ya mafuta.


  JE NCHI HII INAONGOZWA KWA MISINGI YA DEMOKRASIA NA UTAWALA BORA?
   
 2. MGANGA WA KIENYEJI

  MGANGA WA KIENYEJI JF-Expert Member

  #2
  Sep 12, 2012
  Joined: Sep 10, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  8. Kutokuchukuliwa hatua kwa Mafisadi ingawa wanajulikana.
   
 3. MGANGA WA KIENYEJI

  MGANGA WA KIENYEJI JF-Expert Member

  #3
  Sep 13, 2012
  Joined: Sep 10, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  9. Matumizi ya nguvu katika mikutano ya kisiasa na maandamano ya amani.

  etc
   
 4. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #4
  Sep 13, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Thenki yu vere mache
   
Loading...