Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,752
- 7,856
...ama kuishi kwingi na kusikia mengi, ...hivi;
urefu au ufupi wa unyayo,
au nafasi baina ya vidole vya miguu,
au vidole vya mikono,
au ukubwa/udogo wa mdomo
vinahusiana vipi na 'jinsia' ya mwanaume au mwanamke?
Nahisi ni kama sexual harrasment fulani 'kumsifia mtu' eti tu kwa ukubwa wa mguu, au mw'mke/ume akisifiwa kwa mwanya wake, kuwa eti (ashakum si matusi) ni mtamu! ...Labda ndio maana kuna walio na desturi ya kuficha maungo yao kwa nia ya kujistiri?! ...Mkeo/Mumeo 'akisifiwa' kwa kama haya, unalichukuliaje?
...ni kweli au dhana tu?
NB; Mchango kwa lugha nyepesi tafadhali