Dhana hii kwenye mapenzi, je ni ya kweli au?

Jun 15, 2017
46
40
Kuna dhana kwamba wale watu wanaokuwa kwenye mahusiano na wakapendana kweli kweli huwa hawaishii kuoana. Huwa wanaoana na watu tofauti kabisa.

Je kwa experience ya kwenu ndugu mloko humu, je ni kweli?
 
Hiyo kitu inawezekana na ni kweli ila mtaendelea kumegana hata baada ya kila mmoja kua kwenye ndoa yake.
 
Back
Top Bottom