Dhamiri yamlazimisha Rais Magufuli kukiri uharibifu katika uchaguzi wa Oktoba 2020

Bado alichokisema Askofu kina mantiki kubwa tu. Kwani jiwe alichaguliwa na Watanzania? Si alipora uchaguzi kupitia polisiccm na tume FAKE ya uchaguzi? Sasa yeye na hao madiwani wa halmashauri ya Dar wana tofauti ipi? Wote hawakuchaguliwa na wapiga kura.
Haujamuelewa Mh. Rais. Yeye kasema baraza la madiwani linalounda halmashauri ya jiji halijachaguliwa na wananchi. Japokuwa madiwani wamechaguliwa na wananchi kuingia kwenye mabaraza ya manispaa zao.... Askofu usikurupuke
 
Hivi huyu askofu ni mzaliwa wa mkoa gani haswa?

Maana kama anatoka sehemu za mipakani naona afadhali aandae orodha ya kuanzia mababu wa mababu na akumbuke vizuri yalipo makaburi yao.
Anatoka Mbeya , tunamfahamu kuanzia babu wa babu yake , wathubutu kumvua uraia waone moto
 
Inabidi kuopiga kelel kumwambia Jiwe kuwa yeye si Rais maana hakuchaguliwa na watu, yeye hana tofauti na Idd Amin aliyepindua serikali halali ya Obote au huyu wa Myanmar
Min Aung Hlaing

View attachment 1711398

The Tatmadaw proclaimed a year-long state of emergency and declared power had been vested in Commander-in-Chief of Defence Services Min Aung Hlaing. It declared the results of the November 2020 general election invalid and stated its intent to hold a new election at the end of the state of emergency.
Dhambi ni mbaya sana. Utaweweseka hata ukiwa usingizini bila kujitambua. Mkuu kaweweseka. Hakudhamilia kutamka hivyo. Yamemtoka yaliyomo ndani mwake bila kujifahamu.
 
Tume huru ni hitaji muhimu la Taifa. Kampeni ya kuidai ni muhimu.

Maandamano yanaweza kuwa sehemu ya kampeni hiyo.

Maaskofu waliovaa majoho wanaweza, na wanapaswa, kuwa sehemu ya maandamano hayo.

Lkn maandamano hayawezi, na hayapaswi, kuwa hatua ya kwanza.

Hatua ya kwani ni, na inapaswa kuwa, kujibu swali lifuatalo na kuhakikisha waandamanaji watarajiwa wanaelewa jawabu kwa swali:

TUME HURU INAYOTAKIWA TANZANIA NI KITU GANI NA SIO KITU GANI?

Nadharia kabla ya utekelezaji ni muhimu sana kwa kuwa itatuwezesha kufanya tathmini baada ya kutenda.
Time for gossiping is long a time gone. Everyone understands the need for a new constitution and free electoral commission. It is time for action!!!!
 
Kimsingi haya maagizo ya kuvuruga uchaguzi ni yake kwa 100%, lakini anajikuta kwenye wakati mgumu maana anaona kabisa amekipotezea chama chake mvuto, na kwenye box la kura hawapati matokeo aliyotegemea, na watu hawataki kupiga kura tena, na sababu hasa ni yeye.
Anasema madiwani wa Dar es Salaam hawakuchaguliwa na watu. Walichaguliwa na nani?
 
Sio kwamba nipo kisha nitaoondoka baada ya mfupi, nipo sana hutaki kunywa sumu. Ufaidike na ccm au usifaidike is non of my business. Ni kweli hakuna mbadala wa ccm kwa mujibu wa mahaba yako, ila kwangu mimi ccm ni chama outdated fullstop.
Sasa wewe mtu 1 kati ya watu mil 60 una impact gani?
 
DHAMIRI YAMLAZIMISHA RAIS MAGUFULI KUKIRI UHARIBIFU KATIKA UCHAGUZI WA OKTOBA 2020!

Nilipokuwa nahojiwa na Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam wiki iliyopita, nililazimika kumueleza mmoja wa maofisa waliokuwa wananihoji nikasema kuwa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020 haukuwa Huru na wala haukuwa wa Haki. Aliponiuliza kama nilikuwa na ushahidi nilimjibu kuwa ndio ninao ushahidi!

Kama Madiwani waliopatikana katika Uchaguzi ule wamekataliwa na Rais ambaye ndiye Mwenyekiti wa Chama chao kwa kuwaambia hadharani na ametamka kwa ujasiri kuwa hawakuchaguliwa na watu, je walichaguuliwa na nani? Jibu hapa rahisi na la wazi nalo ni kuwa walichaguliwa na Tume ya Uchaguzi!

Tunaweza kusema kuwa kwa maneno na kauli ya Rais Magufuli, Tume ya Taifa ya Uchaguzi haikutenda Haki na haijawa Huru machoni pa Watanzania na hata machoni pake yeye mwenyewe. Kama Madiwani wale hawakuchaguliwa na watu, sahihi kabisa pia kuwa Wabunge, na Rais nao hawakuchaguliwa na watu kwa kuwa wote walipatikana katika Uchaguzi mmoja uliosimamiwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ambayo ndiyo inayolalamikiwa!

Tunawaalika Watanzania wote kujitokeza na kushiriki kwa kikamilifu katika kampeni za kuhamasisha umma wa Watanzania kuhusu umuhimu na uhitaji wa Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya. Nitakuwa nikingoza kampeni hizo katika nchi nzima nikiwa nimevalia majoho ya Kiaskofu!

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfutate!

Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
'Askofu' unashindwaje kufahamu jambo dogo na dhahiri kabisa kuhusu alilolimaanisha Rais Magufuli kuwa Uongozi wa Jiji la Dar es salaam uliovunjwa,haukutokana na kuchaguliwa na wananchi wa jiji hilo. Kwa vile Jiji lile halikuwa na ardhi, wala watu, kwani ardhi na watu walikuwepo na kuwajibika kwenye Halmashauri za manispaa za Ilala, Ubungo, Kinondoni, Temeke na Kigamboni.

Na kwamba pamoja na Jiji lile kuwa "Meya wake, baraza la 'madiwani' na bajeti yake ya kugharimia shughuli zake, fedha za bajeti hiyo na 'madiwani wake' zilikuwa zinachangwa na manispaa hizo tajwa!

Anzisha Chama cha Siasa 'Baba Askofu' ili uweze kuwa na mawanda stahiki ya kujinafasi na kunadi sera zako mbadala, pamoja na kuimarisha kambi ya upinzani iliyotereka, badala ya kutoa povu la kisiasa huku ukiwa umevaa joho la madhabahuni.
 
Jiwe aliwahi kusema(kwa wakurugenzi) kuwa yaani Nikupe kila kitu (Nyumba, Gari, Mshahara....) alafu uje uniambie mpinzani kashinda?
Hahahaahhaa hahahaah leo kawageuka tena.
Siku moja ina saa 48, nasema uongo ndugu zangu?
 
DHAMIRI YAMLAZIMISHA RAIS MAGUFULI KUKIRI UHARIBIFU KATIKA UCHAGUZI WA OKTOBA 2020!

Nilipokuwa nahojiwa na Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam wiki iliyopita, nililazimika kumueleza mmoja wa maofisa waliokuwa wananihoji nikasema kuwa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020 haukuwa Huru na wala haukuwa wa Haki. Aliponiuliza kama nilikuwa na ushahidi nilimjibu kuwa ndio ninao ushahidi!

Kama Madiwani waliopatikana katika Uchaguzi ule wamekataliwa na Rais ambaye ndiye Mwenyekiti wa Chama chao kwa kuwaambia hadharani na ametamka kwa ujasiri kuwa hawakuchaguliwa na watu, je walichaguuliwa na nani? Jibu hapa rahisi na la wazi nalo ni kuwa walichaguliwa na Tume ya Uchaguzi!

Tunaweza kusema kuwa kwa maneno na kauli ya Rais Magufuli, Tume ya Taifa ya Uchaguzi haikutenda Haki na haijawa Huru machoni pa Watanzania na hata machoni pake yeye mwenyewe. Kama Madiwani wale hawakuchaguliwa na watu, sahihi kabisa pia kuwa Wabunge, na Rais nao hawakuchaguliwa na watu kwa kuwa wote walipatikana katika Uchaguzi mmoja uliosimamiwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ambayo ndiyo inayolalamikiwa!

Tunawaalika Watanzania wote kujitokeza na kushiriki kwa kikamilifu katika kampeni za kuhamasisha umma wa Watanzania kuhusu umuhimu na uhitaji wa Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya. Nitakuwa nikingoza kampeni hizo katika nchi nzima nikiwa nimevalia majoho ya Kiaskofu!

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfutate!

Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Huyo Mwamakula an matatizo ya akili.
Madiwani wa JIJI ndio waliokuwa haramu.
Hakuna Diwani wa JIJI aliyechaguliwa kuingia pale.
Ndio maana ilikuwa ni rahisi Rais Magufuli kuvunja JIJI.

Lakini madiwani hao walichaguliwa kuingia Halmashauri za aidha Temeke, Ilala au Kingamboni na Kinondoni na Ubungo.
Muelemisheni Mwamakula aelewe hilo.
 
DHAMIRI YAMLAZIMISHA RAIS MAGUFULI KUKIRI UHARIBIFU KATIKA UCHAGUZI WA OKTOBA 2020!

Nilipokuwa nahojiwa na Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam wiki iliyopita, nililazimika kumueleza mmoja wa maofisa waliokuwa wananihoji nikasema kuwa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020 haukuwa Huru na wala haukuwa wa Haki. Aliponiuliza kama nilikuwa na ushahidi nilimjibu kuwa ndio ninao ushahidi!

Kama Madiwani waliopatikana katika Uchaguzi ule wamekataliwa na Rais ambaye ndiye Mwenyekiti wa Chama chao kwa kuwaambia hadharani na ametamka kwa ujasiri kuwa hawakuchaguliwa na watu, je walichaguuliwa na nani? Jibu hapa rahisi na la wazi nalo ni kuwa walichaguliwa na Tume ya Uchaguzi!

Tunaweza kusema kuwa kwa maneno na kauli ya Rais Magufuli, Tume ya Taifa ya Uchaguzi haikutenda Haki na haijawa Huru machoni pa Watanzania na hata machoni pake yeye mwenyewe. Kama Madiwani wale hawakuchaguliwa na watu, sahihi kabisa pia kuwa Wabunge, na Rais nao hawakuchaguliwa na watu kwa kuwa wote walipatikana katika Uchaguzi mmoja uliosimamiwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ambayo ndiyo inayolalamikiwa!

Tunawaalika Watanzania wote kujitokeza na kushiriki kwa kikamilifu katika kampeni za kuhamasisha umma wa Watanzania kuhusu umuhimu na uhitaji wa Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya. Nitakuwa nikingoza kampeni hizo katika nchi nzima nikiwa nimevalia majoho ya Kiaskofu!

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfutate!

Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Kwa kifupi sana maombi ya siku 3 yana anza kutoa matokeo chanya bila shaka
 
Kimsingi haya maagizo ya kuvuruga uchaguzi ni yake kwa 100%, lakini anajikuta kwenye wakati mgumu maana anaona kabisa amekipotezea chama chake mvuto, na kwenye box la kura hawapati matokeo aliyotegemea, na watu hawataki kupiga kura tena, na sababu hasa ni yeye.
Hadhira imegoma kumshangilia mpiga ngoma nae ajiuliza kunani? Mbona siku zote mwanipayusha!
 
Magu atakumbukwa kwa mengi sana katika utawala wake kwa kushindwa hata kusimamia uchaguzi...hii ndiyo kazi kubwa ya Rais kuhakikisha maoni ama maamuzi ya wananchi yanaheshimika.

Raia wengime raia hawajulikani walipo na Rais yupo kimya... yaani ni sawa na baba home mwanafamilia dada anapotea wewe upo kama haupo!!

Kwa hili CCM ni lazima mtuombe radhi..hatuwaachi.
 
DHAMIRI YAMLAZIMISHA RAIS MAGUFULI KUKIRI UHARIBIFU KATIKA UCHAGUZI WA OKTOBA 2020!

Nilipokuwa nahojiwa na Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam wiki iliyopita, nililazimika kumueleza mmoja wa maofisa waliokuwa wananihoji nikasema kuwa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020 haukuwa Huru na wala haukuwa wa Haki. Aliponiuliza kama nilikuwa na ushahidi nilimjibu kuwa ndio ninao ushahidi!

Kama Madiwani waliopatikana katika Uchaguzi ule wamekataliwa na Rais ambaye ndiye Mwenyekiti wa Chama chao kwa kuwaambia hadharani na ametamka kwa ujasiri kuwa hawakuchaguliwa na watu, je walichaguuliwa na nani? Jibu hapa rahisi na la wazi nalo ni kuwa walichaguliwa na Tume ya Uchaguzi!

Tunaweza kusema kuwa kwa maneno na kauli ya Rais Magufuli, Tume ya Taifa ya Uchaguzi haikutenda Haki na haijawa Huru machoni pa Watanzania na hata machoni pake yeye mwenyewe. Kama Madiwani wale hawakuchaguliwa na watu, sahihi kabisa pia kuwa Wabunge, na Rais nao hawakuchaguliwa na watu kwa kuwa wote walipatikana katika Uchaguzi mmoja uliosimamiwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ambayo ndiyo inayolalamikiwa!

Tunawaalika Watanzania wote kujitokeza na kushiriki kwa kikamilifu katika kampeni za kuhamasisha umma wa Watanzania kuhusu umuhimu na uhitaji wa Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya. Nitakuwa nikingoza kampeni hizo katika nchi nzima nikiwa nimevalia majoho ya Kiaskofu!

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfutate!

Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Tume huru si jambo la hiari tena bali ni LAZIMA nipo na baba Askofu bega kwa bega kwenye hili.

Mwanakondo ameshindaaa......
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Hivi huyu askofu ni mzaliwa wa mkoa gani haswa?

Maana kama anatoka sehemu za mipakani naona afadhali aandae orodha ya kuanzia mababu wa mababu na akumbuke vizuri yalipo makaburi yao.
Huyo ni chuma mzee baba, anasimamia ukweli wa aliyokulia, aliyofundishwa na anayoishi na kuyaona. Watu wa Mbeya hawaogopi vitisho....
Kufa kupo tu, cha msingi ni kuangalia umeacha legacy ya aina gani katika nchi yako
 
Back
Top Bottom