Kama watajiunga na "jumuia za kijahidina" na kuanza kukata watu mikono itaathiri vipi usalama wa Tanganyika?Jingine kubwa ni usalama wa taifa, kwani Zanzibar ikijiunga na jumuia za kijahidina wanaweza anza kukata watu mikono.
Kwanza ni nchi yao; wakimwita Sultani, mfalme, raisi wewe inakuhusu nini? na bado sijaona athari za kiuslama kwa tanganyika hapo, fafanua.Mudawote said:Na wengi wa wzanzibar they are brainwashed hivyo wanataka kumrejesha Sultan ili walipe fidia za mapinduzi
Mbona Sultani alishawahi kuitawala Zanzibar tena mpaka hiyo Pwani ambayo leo hii imegeuzwa Bara na haikuonekana hiyo hatari unayoisema wewe?!Mudawote said:na baadaye awatawale tena kitu ambacho wazanzibar wenye asili ya bara wanaweza uawa.
mfano angepiga kura ingesaidia nini au kuongeza nini
over my dead body.......
Hizi ni siasa za kitoto na zitawavutia watoto ama watu wazima wenye akili za kitoto.
Hivi huyu mini kabang ndio wa kuacha posho ya laki 3 kwa siku?????? I say it again''''' over my dead body''
nyie mkisusa wenzenu wanakula na uzuri wa katiba ni kwamba,,, huwezi ukaipinga pindi the majority wakiipitisha.
Huyu mini kabang ni mjinga kama kawaida yake
No kamanda just stay fight kiume mpaka katiba ipatikane
Kama Mbunge na Kiongozi ninatambua umuhimu wa kutunga katiba mpya ni fursa muhimu katika maisha yangu. Harakati muhimu za wanasiasa haswa wapinzani na wadau wengine wa mabadiliko zimeleta fursa hii lakini masikitiko yangu ni mchakato mzima unavyoendelea ambapo nia njema imepotezwa na misimamo ya Watawala juu ya kile wanachokitaka wao.
Nitaongea na Viongozi wangu wa UKAWA kesho ikiwezekana na nitawaeleza wajibu muhimu ninaofikiria kujiondoa kama Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba wiki ijayo mapema, dhamira yangu imekwishaamua kwa sababu za msingi kabisa ambazo nitaongea nao kesho na ni Imani yangu kuwa wataniruhusu kutenda tendo hili jema.
Hata hivyo nitaeleza na kuandika sababu zote muhimu kabla sijabeba begi langu na kurudi Nyumbani Arusha kuongea na Wananchi walionichagua na kuwaeleza sababu ya kujiondoa katika Mkutano mkuu wa CCM hapa Dodoma unaojulikana kwa jina la Bunge Maalumu la katiba.
Hakuna kitu kama hicho.
Katika sababu zote umeamua kuamini upuuzi na ujinga kama huu??
Unaweza kuamini ndani ya roho yako kwamba mimi naweza kuamini sababu hii ya kilimbukeni? ... tuheshimiane kaka, hapa tunazungumzia mustakabali wa taifa ambalo maamuzi yake yanaweza kuathiri stability ya mataifa mengine kiuchumi na kisiasa na pia kuchafua historia ya majasiri wa bara hili.
Kama kuna mbunge ambaye anaogopa kusimamia haki kwa uwazi, basi huyo mbunge asiguse jengo letu huko Dodoma. Nimekuwa napigania kura ya wazi kwa muda mrefu sana, na utashangaa utapoona wabunge wa CCM watakavyosimamia haki kwa uwazi. Nawajua baadhi na tusubiri tu uone nini kitatokea.
Kuna vyama ambavyo vinafadhiliwa na jumuia na vyama vingine vya siasa kutoka ulaya magharibi. Tuna wasiwasi kuwa wanaogopa kuweka kura zao wazi kwa sababu hawataweza kusimamia matakwa ya jumuia shirikishi za vyama vyao na kuathiri mapato yao. Kwa sababu jumuiya hizo zipo kinyume na matakwa ya watanzania.
Tumeshaona mbunge mmoja wa upinzani alivyokaangwa. Mbunge huyo alishawaambia wanajumuia jinsi wanavyopora mali za Africa na alikuwa anabishana wazi kwenye mitandao na baadhi ya wawekezaji.
Kalagha baho na ubozi wako!
Kama Mbunge na Kiongozi ninatambua umuhimu wa kutunga katiba mpya ni fursa muhimu katika maisha yangu. Harakati muhimu za wanasiasa haswa wapinzani na wadau wengine wa mabadiliko zimeleta fursa hii lakini masikitiko yangu ni mchakato mzima unavyoendelea ambapo nia njema imepotezwa na misimamo ya Watawala juu ya kile wanachokitaka wao.
Nitaongea na Viongozi wangu wa UKAWA kesho ikiwezekana na nitawaeleza wajibu muhimu ninaofikiria kujiondoa kama Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba wiki ijayo mapema, dhamira yangu imekwishaamua kwa sababu za msingi kabisa ambazo nitaongea nao kesho na ni Imani yangu kuwa wataniruhusu kutenda tendo hili jema.
Hata hivyo nitaeleza na kuandika sababu zote muhimu kabla sijabeba begi langu na kurudi Nyumbani Arusha kuongea na Wananchi walionichagua na kuwaeleza sababu ya kujiondoa katika Mkutano mkuu wa CCM hapa Dodoma unaojulikana kwa jina la Bunge Maalumu la katiba.
/ha ha ha kwafufue ukoo wenu wote mjiunge lakini LEMA 1 tu hamumuweziwe kweli kichwa nazi