mdundo ngoma sana
JF-Expert Member
- Jan 2, 2016
- 1,002
- 955
Mimi Simba damu lakini naamini itafanikiwa kama itamilikiwa na tajiri.viongozi wa simba ni masikini wanataka kuchuma kupitia simba.soka la dunia ya leo ni la kibepari huwezi kuepuka ukweli huu.simba inahitaji proffessional players sio hawa wa ndondo cup.usajili uhusishe fedha sio kumpa elfu ishirini mchezaji asaini.simba inabahatisha tu haina uwezo.Mpeni timu tajiri yeyote amiliki na nyinyi mrudi kwenu mkalime.timu yetu haitashinda big mechi yeyote zaidi ya kuifunga majimaji