Dhambi ya kuchafua wagombea wenza ya mtafuna JK

bushman

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,411
743
Wana jf nakumbuka 2005,wakati huo hata nilikuwa sijui nn maana ya mtandao(wafitini).magazeti mengi yalinunuliwa kuwachafua wengne,kama sumaye,mwandosya na aliyekuwa akitarajiwa na wengi kwa mtazamo wangu ndio alikuwa anaunafuu fulani yaani.mh.dr.salim a.salim.lakini baada ya sumaye kuona anazama kwenye maji mengi alisema hivi"anayesafisha njia ya kwenda ikulu kwa kutumia karatasi na peni basi akifika huko atasafisha jina lake kwa risasi" wana jf nini maana ya kauli hii ya sumaye?,hivi ni kweli wale wot waliojeruhiwa na kikwete wamesamehe? Nini hatma ya upatikanaji wa uongozi kwa njia hii?:target::target:
 
Sumaye alimaanisha alichokuwa anakisema na ndio ukweli wenyewe huo, Sumaye anamjua vizuri huyo aliyeingia Ikulu kwa Karatasi na Kalamu
 
Na yeye ndo chanzo kizuri kabisa cha chadema kutwaa nchi 2015....hata asipotamka kitu tena hadi wakati huo, tayari ameshavuruga kila idara!...sisi tunamshukuru!
 
Kuna wakati sumaye alikuwa anaonekana kabisa angejiunga na chadema sijui alighair wapi!!!
 
Na yeye ndo chanzo kizuri kabisa cha chadema kutwaa nchi 2015....hata asipotamka kitu tena hadi wakati huo, tayari ameshavuruga kila idara!...sisi tunamshukuru!

Nakipindi hiki Jk na makamba ndo wataboronga kwa nguvu zaidi, kweli wanastahili pongezi kwani bila wao CCM ingekuwa bado inatesa.
 
Back
Top Bottom