bushman
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 2,411
- 743
Wana jf nakumbuka 2005,wakati huo hata nilikuwa sijui nn maana ya mtandao(wafitini).magazeti mengi yalinunuliwa kuwachafua wengne,kama sumaye,mwandosya na aliyekuwa akitarajiwa na wengi kwa mtazamo wangu ndio alikuwa anaunafuu fulani yaani.mh.dr.salim a.salim.lakini baada ya sumaye kuona anazama kwenye maji mengi alisema hivi"anayesafisha njia ya kwenda ikulu kwa kutumia karatasi na peni basi akifika huko atasafisha jina lake kwa risasi" wana jf nini maana ya kauli hii ya sumaye?,hivi ni kweli wale wot waliojeruhiwa na kikwete wamesamehe? Nini hatma ya upatikanaji wa uongozi kwa njia hii?:target::target: