Dhambi inayotutafuna

Shayu

Platinum Member
May 24, 2011
608
1,653
Serikali ambayo watu ndio focus ya utawala wao, sio madaraka, sio kujikusanyia mali na tajiri, sio kutafuta sifa na utukufu but truth and justice ni msingi wa taifa lolote imara. Serikali ya namna hiyo hakuna itakachoiangusha. Lakini ubinafsi ni kitu kibaya sana hatuwezi kjenga taifa imara kama tukiwa nao. Watu ambao wanaweka interest zao kabla ya interest za taifa na jamii they do much harm.

Taifa hujengwa na watu wanaojitolea kwaajili ya wengine na political positions ni kwaajili ya ku serve watu na sio nafasi ya kujipatia utajiri. A self seeking people they can not build a strong nation or bring unity to the country and unity of purpose and spirit it is only thing which will uplift our country.

So we want to build our induvidual dominion and not country dominion lakini kumbuka kwamba utkufu wako binafsi hauna usalama kama nchi haina huo utawala ambao unaujenga kwaajili yako binafsi, ili uwe juu ya watu na sio wewe na wananchi wa taifa lako muwe kitu kimoja. Nguvu ya kiongozi ni dadi ya watu ambao wako nyuma yako ambao wako tayari kukufia sio kwa fedha bali kwa kitu unachosimamia.

Kuna kutojitambua kukubwa miongoni mwa wananchi na viongozi hili ni gonjwa kubwa. Lazima tujenge malengo na dira kwa watu wetu, ili wajijue wao ni kina nani na malengo yao ni yapi na wanataka kufika wapi kama taifa. Not to be a country of self seeking people. ila nchi ambayo watu wake wanatumikiana na kushirikiana ili kufikia malengo mapana ya kitaifa. We can not do this if we are not one.

Lazima ifikie wakati tuelewane, tuwe na umoja na malengo tuweke ubinafsi wetu pembeni then we can do much as the nation. If we do not nderstand each other tutawezaje kjenga taifa. Lazima tujege kuheshimiana na kusikilizana, kutenda haki na kujenga taifa lenye usawa.

A country which everyone seek his own interest and pursuit, and they doesn't joined together with the unity of purpose for the great interest of the nation with the some goals for the nation will not make far.

If this nation is not in the heart of the people but only their interest and people are not proud to be tanzanians, then we are doomed. Watu lazima wajitambue kwenye utaifa wao na wajivunie kwenye utaifa wao lakini lazima kuwe na sababu ya kuwa hivyo. Sababu hiyo ambayo ccm wameiua kwa makusudi ili watu wasijivunie utaifa wao na wasijione wanamiliki taifa hili na kuwa taifa hili ni la watu wa kikundi fulani namaanisha ni lao kwasababu tu walipigania kupata huru ni dhambi ambayo watakuja kuilipa.

Ili taifa lazima likabidhiwe kwa wenye nalo na kuua matabaka ambayo yanajengwa kwa makusudi. Kazi ya kiongozi yeyote yule kisiasa ni kujenga umoja wa nchi na kuwaleta wat pamoja katika malengo. Sio kuwalaghai na ku manipulate watu. Na hakika mda utafika ccm italipa. Watu watu wapo wanaweza kusema hawajielewi lakini wanajielewa hawawezi kudanganywa kila siku. Dhambi waliyofanya kuwatoa watu kutoka kwenye utaifa kwenda kwenye ubinafsi kwa kuiongoza nchi hii kwa maslahi yao na kila kkicha kulaghai watailipa.

Kulitoa taifa kutoka kwenye utaifa kwenda kwenye ubinafsi hakika ccm itakuja kuilipa dhambi hii.
Kwasababu serikali ikifanya hivyo ni hatua ya kwanza ya kuwa serikali kandamizi. If leaders think only on making money and maintaning their position in leadership they will certainly be oppressive government. And also by doing so they will make the whole country corrupt and vile.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom