Dhahabu: Ufunguo wa maisha ya milele

Sakasaka Mao

JF-Expert Member
Sep 29, 2016
7,416
2,000
Hivi mwandishi msomi unashindwa kutofautisha maisha ya milele(iternal life) na maisha marefu(long life) kweli?

Maisha ya milele hayajawahi kuwepo duniani.

Na milele haina mwisho(infinite).
 
Artificial intelligence

JF-Expert Member
Jan 28, 2021
717
1,000

kiukweli kitendo cha kujikuta unakosoa, alafu unaandika vitu usivyo vijua wala kuelewa eti 'iternal life' bora ungekaa kimya tu. Ungekuwa unakielewa ulichokiandika tunge eleweshana vizuri zaidi. Inakubidi uongeze maarifa zaidi kuhusu 'synonyms & antonyms' za neno "eternal ".
 
Artificial intelligence

JF-Expert Member
Jan 28, 2021
717
1,000
Aiseee nilichelewa kuiona hii mada,ila kiufupi hua nafarijika sana kuona kumbe Kuna watu wanaujua ukweli wa mambo,
Mkuu ulichoandika ni kweli tupu na Mimi humu hua najaribu kukigusia kwenye baadhi ya maandiko humu ila watu ni wagumu kuelewa sana sababu wamemezwa na propaganda sana,
Ipo siku itatupasa kuandaa maada kuwahusu Annunaki na Accient civilization za kale kama Sumerians,Assyrian, Babylon, Egyptian,Kush,Dogon, Aztec,Maya Peru, Indus valley,china, India. Nk
Ili kuwafumbua macho watu waujue ukweli na mwanzo wa haya mambo!
Hongera kwa kulitambua hilo, kuhusu hilo ondoa shaka ndugu. Hawa uliowataja ndiyo chimbuko la kila kitu anachokifanya mwanadamu, hawa hawa ndiyo waanzilishi wa dini na kanuni za maisha. Kush ndiyo ilikuwa royal city ya kwanza kabisa kujengwa duniani na sumerians wakati wanaanzisha civilisation tokea enzi ya Enlil na Enki. Na hawa wote egyptians, asyria,babylon nk chimbuko la civilisation yao ni moja summer, though walitokana na sehemu tatu, mesopotamia, nile valley pamoja na indu-Europe valley after deluge.
 
Artificial intelligence

JF-Expert Member
Jan 28, 2021
717
1,000
😂😂😂 mkuu umeamua unilipuwe kaavatar kangu JF ni balaha👐

Watu wa kale walikuwa na teknologia ya juu sisi tunaiga tu kwa sasa. Annunaki ndiye kiumbe wa kwanz kufanya human cloning. Alafu ww jamaa unasoma sana vitabu.
Hapana sijakulipuwa, ni vile unachokijua mwingine anaweza kuwa anakijua pia, kwahiyo kikubwa ni kuendelea kuelimishana tu.
 
TsafuRD

JF-Expert Member
Sep 29, 2013
2,038
2,000
Maisha ya milele haina maana ya kwamba ni kuishi bila kifo la asha! bali kuishi muda mrefu zaidi hadi pale mauti yatakapo kukuta. Maisha ya milele naamanisha umri mrefu wa kuishi hapa duniani kama ilivyokuwa kwa Methuselah miaka 969, Adam miaka 930, Seth Mtoto wake Adam miaka 912, Enosh mtoto wa Seth miaka 905, Kenani mtoto wa Enosh miaka 910, Mahalalel ,mtoto wa Kenani miaka 895, Jared mtoto wa Mahalalel miaka 962 na wengine wengi kama mfalme Galgamesh. Hivyo hakuna maisha ya kutokufa, watu wote walioishi miaka mingi walikuja kufa baadae, Methuselah pamoja na miaka yote hiyo alikuja kufa, hivyo kuishi milele kupo, ila huwezi kukwepa kifo.
Kwani ni wakati huo miaka ilikuwa inahesabiwa kama leo? unajua kama usiku ulikuwa siku na mchana siku. nani anajua kama masika ni mwaka na kiangazi ikawa mwaka mwingine. Nani anajua kama vuli ilihesabilwa kama mwaka na masika mwaka na kipupwe mwaka. Miaka ya katika maandiko ya dini hayana mlinganisho wa moja kwa moja na miaka jinsi tunavyohesabu leo.
 
love life live life

JF-Expert Member
Sep 12, 2021
1,372
2,000
Wakati unasikia taarifa kwa sasa kwamba dhahabu itaanza kutumika kutibu cancer (taarifa ambayo imewafurahisha watu wote) ni kitu kilikuwepo karne na karne watu wametafuta ukweli wake na kuufanyia tafiti ambayo inaenda kuzaa matunda kwa dunia nzima

Amini ya kwamba kila linalofanyika leo, lilishafanyika zamani na kama halikufanyika basi lilikuwepo. Sayansi ya kwenda angani, kwenye sayari nyingine, ilikuwepo tangia 200BC kinachofanyika leo ni marudio tu, tofauti ni kwamba kipindi hicho yalifanywa na viumbe wasio binadamu wa kawaida ukilinganisha na inavyofanyika leo na mwanadamu .

Maisha ya milele haina maana ya kwamba ni kuishi bila kifo la asha! bali kuishi muda mrefu zaidi hadi pale mauti yatakapo kukuta. Maisha ya milele naamanisha umri mrefu wa kuishi hapa duniani kama ilivyokuwa kwa Methuselah miaka 969, Adam miaka 930, Seth Mtoto wake Adam miaka 912, Enosh mtoto wa Seth miaka 905, Kenani mtoto wa Enosh miaka 910, Mahalalel ,mtoto wa Kenani miaka 895, Jared mtoto wa Mahalalel miaka 962 na wengine wengi kama mfalme Galgamesh. Hivyo hakuna maisha ya kutokufa, watu wote walioishi miaka mingi walikuja kufa baadae, Methuselah pamoja na miaka yote hiyo alikuja kufa, hivyo kuishi milele kupo, ila huwezi kukwepa kifo.

Wakati sisi tunakazana kusoma tafiti zao, wao wanakazana kusoma na kutafsiri maandiko ya kale kutoka Bible, Sumerian, Babylon na Mesopotamia na kuyafanyia tafiti ambazo zinakuja kufanya kazi katika nyakati hizi za sasa. Sayansi na teknolojia nyingi kutoka kwa hivi vyanzo, ndizo zinazoendasha maisha kwa sasa, si kwenda sayari nyingine, tiba, silaha za maangamizi, hayo yote yameandikwa na yapo, wanachokifanya wenzetu ni kuyatafsiri na kuyafanyia kazi. Unaposikia USA wana Area 51, si kwa bahati mbaya.

Ukisoma katika Sumerian, Mesopotamia n.k wamezungumzwa viumbe waitwao Annunaki, viumbe hawa walipatikana miaka 400,000 iliyopita, walitoka sayari nyingine (neflim/12th planet), wakaja duniani kutafuta Dhahabu kwa ajili kusafisha ozone ya sayari yao iliyokuwa imeharibika kutokana na machafuko baina yao, hivyo walivyofika duniani wakamtengeneza mtu kwa mfano wao hapa naamanisha "modern man" yaani "homo sapiens" ili awe kijakazi wake wa kutafuta dhahabu (haya yameandikwa pia kwenye agano la kale), sumerian waliwatumia Annunaki kama Mungu wao (hii nitaelezea siku nyingine).

Je kwa nini walikuja duniani kuitafuta dhahabu kwa hali na mali?, kwa sababu poda ya dhahabu inaponya na kutibu, inarefusha umri wa kuishi, hivyo ikitumika vizuri itafanya maajabu mengi kwa mwanadamu.

Biblia na maajabu ya dhahabu
Moja kati ya vitu vimetajwa sana kwenye biblia, dhahabu ni moja wapo, siyo kwamba ilitajwa bahati mbaya, hapana kuna kusudi lake, ambalo bado mwanadamu anapigana kulijua, ni iwapo atafanikiwa, basi itakuwa na manufaa sana kwake.

Kula poda ya dhahabu kwenye agano la kale
Kutoka 32:2 inaelezea wakati Musa(mosses) akiwa anawasiliana na Mungu , Aaron kaka yake mkubwa Musa, alihisi kuchanganyikiwa kwa kukosa maamuzi kutokana na kwamba Mosses alikuwa ameenda muda mrefu bila kurudi. Aaron alivyoona hivyo akaamua kuwaagiza wana wa waisrael wote kukusanya vipande vya dhahabu walivyokuwa navyo na kisha kuvipitisha kwenye moto na kutengeneza "ndama wa dhahabu" akaenda mbali kwa kumjengea altar na kumuita Mungu, huku akiwa hamru wana wa Israel kusali na kuomba chini ya miguu ya ndama huyo wa dhahabu. Baada ya Mungu kuona hivyo akamuhamru Mosses kurudi kwenye kambi ya wana wa Israel, Mosses alivyofika alikasirika sana kutokana na hali aliyoikuta, akamchoma na kumuyeyusha yule ndama wa dhahabu kuwa poda, baada ya hapo akachukua poda kadhaa akachanganya na maji , kisha akawapa wana waisrael wanywe mmoja baada ya mwingine.

Ila kitu kimoja ni kwamba ukiichoma dhahabu kwa moto huwezi kupata poda utapata 'molten gold', lakini baadae kwenye stori inaelezwa kwamba poda ya dhahabu kwa kutumia 'frankincense' ingeweza kutengeneza 'mkate wa dhahabu' ambao watu wa kale katika biblia waliuita 'bread of presence'.

Mosses inawezekana alijua nguvu ya poda ya dhahabu, japo uhusiano wake na hili jambo umepindishwa sana, kwahiyo yawezekana dhahabu ikawa ufunguo wa maisha ya milele , uliofichwa katika maandiko matakatifu hivyo mwanadamu anautafuta ukweli, na hapa tunakutana na maajabu ya dunia ya mtu anayeitwa David Hudson.

THE STRANGE SAGA OF "ORBITALLY REARRANGED MONO-ATOMIC ELEMENTS"
Mwana Arizona David Hudson ambaye alijiusisha na shughuli za kilimo zaidi ya karne 5 zilizopita, aliweka kipaumbele kwenye utafiti wa 'monoatomic gold powder' au white gold powder , baada ya utafiti wake akaja na 'orbitally rearranged monoatomic elements (ORME)', ORME katika waebrania lilimanisha mti wa maisha yaani "tree of life". Mtafiti huyu alisema ORME ni matokeo ya nucleus deformation na kwamba hali hii inawezekana kwa precious metals tu kama vile silver, palladium, rhodium, ruthenium, osmium, iridium, platinum na gold.

"Within the new configuration, the atoms interact in two dimensions, with the super deformed nuclei reaching high spin,low energy states. In this state the element become perfect superconductors, with their electrons combining in "cooper Pairs" and thus becoming the photons of light".

Mwaka 2013 mtafiti Jim Marrs alinukuliwa akisema "Hudson ameanzisha kitu kipya na chenye uwezo wa kuubadili mwili wa binadamu, mabadiliko chanya kwenye vina saba(DNA), kutibu cancer na matatizo ya uzazi na kufungua mlango wa maisha ya milele kwa watu". Hii imefanya wanasayansi ulimwengu waamini kwamba kwa dhahabu na nanotechnology kwa pamoja wataweza kutibu cancer kabisa na kupunguza au kumaliza side effects zote.

GOLD AND CANCER
Mwaka 2014 Rice University, Texas, walifanya jaribio la kuziwekea seli zenye cancer solution of nontoxic gold colloids, tiny spheres of gold that are thousands of times smaller than a living cell, seli zote zilizokuwa zimeathirika kwa cancer zilikufa, huku zile ambazo hazikuwa na cancer pamoja na organs nyingine zikabaki kama zilivyokuwa bila kupata madhara yeyote. Njia hii imeleta ufanisi zaidi ya mara 17, ukilinganisha na njia inayotumika kwa sasa kutibu cancer.

Umuhimu wa ORME
Hudson katika utafiti wake alihitimisha kwa kusema hivi "ikiwa dhahabu iliyo katika hali ya poda ambayo ni ORME itamezwa/kuwekwa kwenye mwili wa mtu, mtu huyo anabadilika kwenda kwenye kiumbe mwingine mpya, ambaye atakuwa na ujuzi wa ramli(divining), levitation, telepathy, uwezo wa kuendesha akili za wengine na kurudisha uhai kwa mtu aliyekufa karibuni".

Vile vile mtafiti Anna Hayes mwaka 2000 alinukiliwa akisema "this life giving substance briefly fires up the dormant codes in the higher dimensional DNA strand templates, releasing bursts of higher frequency into the DNA template, creating temporary 'windows' to the higher dimensions and giving the physical body a temporary boost ".

Kwa kuzingatia ushahidi wa kihistoria kutoka kwenye Bible, sumerian, mesopotamia n.k ni wazi kwamba watu wa kale waliishi maisha marefu kwa kutegemea dhahabu pia, hivyo watafiti na wanasayansi kwa kulijua hilo wameona wawekeze nguvu nyingi kwenye kutafiti uhusiano uliopo kati ya dhahabu na 'eternal life', uzuri ni kwamba Sayansi haidanganyi ni vitu real ,hivyo naamini ni sahihi na wapo sahihi kwenye hili.

Bila kusahau ukiweza kuyaelewa na kuyatafsiri maandishi ya watu wa kale na kuyafanyia tafiti, dunia na mwanadamu vitakuwa kiganjani mwako.

View attachment 2079444

View attachment 2079446
Kuna mtu aliwahi sema ukitaka kuja na mawazo mapya soma vitabu vya kale.
 
Dumas the terrible

JF-Expert Member
Jan 20, 2021
2,480

Ni kweli mkuu wangu,
Mimi tokea nianze kuchimba kiundani maswala ya
Accient civilization nikaja gundua kila kitu walifanya wale Watu mpaka kua high advanced in science and technology Tena mpaka wakawa na mwingiliano na viumbe Toka nyota za mbali huko walifanya collaboration nao,
Pia nikaja jua kumbe zamani kulikua jamii za watu Fulani na zikatoweka Katika mazingira tata sana mfano jamii za watu wa Maya,Dogon na kule Peru Kwa mfalme Tupac Shakur watu wao walitoweka ghafla tu na kuacha miji Yao iliyojengwa Kwa code tata sana kua magofu tu na inasemakana waliobaki ni wachache sana Tena wale wasio na ujuzi wowote waliokua wanaishia mashambani huko Sasa hatujui ni kitu Gani kiliwafanya kudisappear ghafla na wale waliobaki walisema wametwaliwa na miungu kwenda juu na hapo wakaanzisha dhana ya kuabudu miungu jua wakiamini ipo siku watarudi kuwachukua na wao kama walivyotwaliwa Babu zao,

Kiuhalisia Annunak ndio waliofanya Hivyo maana nadharia ya jamii za Aztec, Maya, Peru nk
Walikua wanachimba dhahabu Kwa wingi sana na kuziweka Katika Temple zao Kwa matani ya kutosha ikawa kama sadaka Kwa miungu na wakiamini ipo siku watarudi kuzibeba,kama mtoa mada alivyoeleza lengo la Annunak ni dhahabu na ndio Ilikua project Yao hata kwenye jamii nyingine kama Mesopotamia,
Na inaonekana baada ya kumaliza project na kuondoka duniani jamii nyingi zilianza yumba wakaanza pigana kugombania sites walizoacha wale viumbe matokeo yake jamii nyingi zikayumba kabisa na kupoteza Kila kitu na kilichobaki kwao kama kumbu kumbu ni majengo kama Pyramids tu basi ila vingine vyote wakafeli kuviendesha siku zilivyozidi kwenda kikaja zaliwa kizazi kisicho na ujuzi wowote wakarudi zero kabisa na ndio tunaita dark ages,
Mpaka juzi juzi kizazi Cha gunduzi kikaanza Rudi na za chini chini inadaiwa ni either wale viumbe wamekuja kinamna nyingine ndio Hao wanaodaiwa wa kuitwa Alliens na project za Siri za mataifa makubwa au la hasha Kuna watu waliweza fungua code za kale zenye ujuzi mkubwa na ndio maana Kila kukicha Kuna gunduzi za kustaajabisha sana,

Yaani Mimi Bado napata mashaka ni jinsi Dunia ilivyobadilika Kwa Kasi ya ajabu sana ndani ya Muda mfupi kabisa Tena mabadiliko yamekuja kipindi wazungu kama kina Christopher Columbus & co wameanza izunguka Dunia na kurudi na baadhi ya maandiko ya Siri kwenye baadhi ya sites mfano Vatican walichukua files zote za kale kutoka maktaba ya Alexandria na kuipiga moto,kule mexico Hernan Cortez alibeba hazina pamoja na Siri zote kutoka Kwa king Montezuma na kuzipeleka ulaya na ndio maana walipoanza kuzunguka Dunia wakaanza piga hatua kubwa Katika ugunduzi wa machine mbalimbali na kuzaliwa mapinduzi ya viwanda,

Nimeweka mambo mengi Kwa wakati Mmoja ila najaribu tu kugusia Ili mtu aunganishe dot haya maswala!
 
Nimepitia maandiko kadhaa kuhusu egpty , Antalantis, Lemu..
There is something beyond our imagination.
Nilichogundua ukikaa ukatuliza akili na kuutafta ukweli unapatikana.
Ndio maana nimeamua wakati wote kuwa the seeker.
 
Bahati mbaya sana kuwa na maarifa mengi na kujua mambo mengine haihitaji usimuliwe.
You need to leave all that you love and take your own path.
Kuna knowledge unazi-acquire only through exprience and not otherwise.
 
Mkuu hongera sana na unajua mengi kuhusu hii dunia na siri zake, nilitamani niongoze kitu ila umekigusia hapa. Annunaki created man, Annunaki Brought technologies for man, Annunaki built pyramids, hapa ndiyo utaona jinsi gani dunia inavyoendeshwa kwa siri na wenye kuujua ukweli.
 
Dumas the terrible

JF-Expert Member
Jan 20, 2021
2,480
2,000
Nimepitia maandiko kadhaa kuhusu egpty , Antalantis, Lemu..
There is something beyond our imagination.
Nilichogundua ukikaa ukatuliza akili na kuutafta ukweli unapatikana.
Ndio maana nimeamua wakati wote kuwa the seeker.
yeah Kuna mambo unajua unabaki unajiuliza yaliwezekanaje maana maana yanashangaza sana,ukiona mambo ambayo mpaka watafiti wa mambo kale wanashindwa ng'amua unabaki na mshangao
Mfano sites kama
Nazca lines Kule Peru nani alichora na zinaonekana tu ukiwa angani na wakati tunaambiwa zamani kulikua hakuna Aircraft na zimepangiliwa kimaajabu sana,
Kingine ni Rama Setu bridge Kule Jimbo la Tamil Nadu India lile daraja lililojengwa kukatiza bahari mpaka Sri Lanka Kwa urefu wa km 45 hivi hivi na lilijengwa maelfu ya miaka huko nyuma Kwa kutumia technology kubwa ambayo Leo ma engineer Bado wanakili hawajaifikia mpaka wanabaki kuunga mkono dhana ya wahindi ya Kwamba lilijengwa na mungu Rama akiwatumia Vanaras viumbe nusu nyani nusu mtu vyenye akili kupita kiasi unaona kabisa hapo hiyo haikua project iliyojengwa na mikono ya watu Bali Annunaki,
Ugunduzi mwingine wa ajabu ni ule wa Gabon Nuclear reactors Sasa unajiuliza nani huko nyuma miaka zaidi ya million kadhaa alizalisha Nyuklia plants unakuja pata jibu Kuna viumbe waliishi kabla yetu na inawezekana ndio walio tu project sisi ,kutokana na kua high technology wakahama Sayari na kwenda kuishi mbali na galaxy yetu,wakituachia Dunia na ndio tunaowaita Miungu,
Maana wote tunajua Nuclear power huzalishwa Sasa kwa hiyo miaka unaleta utata Labda ungekua mlipuko wa Volcano tungesema nature tu na ni kawaida ila Nuclear reactors hapana Kuna namna!
 
Dumas the terrible

JF-Expert Member
Jan 20, 2021
2,480
2,000
Mkuu hongera sana na unajua mengi kuhusu hii dunia na siri zake, nilitamani niongoze kitu ila umekigusia hapa. Annunaki created man, Annunaki Brought technologies for man, Annunaki built pyramids, hapa ndiyo utaona jinsi gani dunia inavyoendeshwa kwa siri na wenye kuujua ukweli.
Annunaki walifanya project mbili kubwa ya
kwanza ni kutoa jamii za watu kutoka Primitive mfano ndio sisi blacks project hiyo waliifanyia Kush maana primitive wengi waliishi huku kusini mwa jangwa la Sahara hasa maeneo ya east Afrika na ndio maana tunapata nadharia za kina Zinjanthropus kupatikana Oldupai gorge wengi hua wanapinga hili ila ndio ukweli maana Annunaki walitubust Toka primitive mpaka
Homo sapiens Sapiens wenye kujitambua Yaani Ile manhood tukaacha kuishi kipori pori na ndio maana kush ndio sehemu ya kwanza kugundulika dhahabu na ndio project za Annunaki zikaanzia hapo na wakawa na machimbo mpaka Zimbabwe kule mwenemutapa,
Ndio maana ukanda huu wetu umebeba Siri kubwa sana na historia ya watu weusi Yaani Nile Valley yote kutoka hapo chanzo chake mpaka Accient Egypt kule juu Pana code za kushangaza,
Project ya pili ya Annunaki ni kuwa clone Binadamu wakitumia DNA zao wakichanganya na za Zamadam
(Watu/Blacks/Homo sapiens)
Hapa tuelewane ndugu zanguni wagumu kuelewa
WATU ni Zamadam/Primitive walio bustiwa DNA wakawa Homo sapiens Sapiens
BINADAMU ni clone ya
Annunaki + Homo sapiens Sapiens au wale primive wakaja tokea jamii za Caucasians ambao ni wazungu na ndio maana watu wanaoamini Dini hua wanajiuliza na kua na mijadala ilikuaje mtu wa kwanza aliumbwa mweusi wazungu walitokea wapi?
Au wanasema zamani walikua weupe tu ila mweusi alilaaniwa na miungu
(mfano Kwa wanaoamini Abrahamic religion)
Kiufupi ndio ilivyokua ila lengo la hizo project zote za Annunaki ni Gold mission duniani!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom