Nianze kwa kusema pole Max kwa yoote yanayo endelea kwa sasa, wamekukamata, wamekulaza ndani ,wamekupekua ofisini na nyumbani na mwisho ni mahakamani zoote hizo nazion kama nihatua ya kukusogeza mbele ktk majukumu yako yakila siku ,usjali songa mbele wewe nisawa dhahabu ili iwe safi shart ipite kwenye moto tena moto mkali,pole max kaza mwendo safari bado