Dhahabu na Makinikia, kipi kilistahili kuanza kuzuiliwa kusafirishwa nje ya nchi?

tajirijasiri

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
2,864
3,851
Wanabodi,
Heshima kwenu.
Mnadhani kipi kingeanza kuzuiliwa kati ya Dhahabu halisi iliyotayari, na Makinikia?
 
UNAANZAJE KUMZUIA ASISAFIRISHE DHAHABU?KODI YAKO SI UNAPATA LAKINI??YULE NI MWEKEZAJI HUWEZI MZUIA ASIUZE MALI YAKE SEHEMU ANAKOTAKA.
SUALA LA MCHANGA LINA UDANGANYIFU NDO MANA UKAZUIWA KWA UCHUNGUZI.
 
Makinika yana vumbi jingi la dhahabu kuliko dhahabu wanayosafirisha.. Kontena zilizozuiliwa zinauwezo wa kutoa dhahabu sawa na semi teller moja na ki-land rover kimoja!! Makinikia ni hatari sanaaaa.
 
Udanganyifu UPI
 
mmmh wewe???!!!
 
Back
Top Bottom