DGIS Diwan Athuman jiulize DDGIS Makungu alitumbuliwa au alipelekwa Tabora kujinoa kushika hatamu?

Ushauri mzuri sana. Cha msingi Magufuri ndio amuache jamaa huru kufanya kazi zake.
 
Kuteuliwa kwa Diwan Athuman kuna manufaa kwa Taifa na ustawi wa taasisi hii nyeti kwa nchi yetu. Lakini kuteuliwa kwake kuna changamoto kwa sababu hajui vigezo vilivyotumika kumpa hiyo nafasi na siku akiondolewa hatoweza kuhoji kwanini kaondolewa na yawezekana akakabidhiwa ubalozi na maisha yakasonga.

Aliondolewa msaidizi wa kapilimba akapelekwa Tabora, ameondoka Kapilimba lakini pia wameondoka wazee wengi waliokuwa wana malengo ya kuwa wakurugenzi wa taasisi hii na hakuna aliyejiuliza Kama wameridhika au la.

Namwona Makungu akiteuliwa kuchuku nafasi hii siku za mbeleni, nawaona walioondolewa wakiendeleza Vita vya madaraka chini chini. Mhe. Mkulu yampasa kuwa making sana na taarifa anazopewa maana wapo wakwamishaji wengi kuliko wenye nia chanya na nchi yetu. Vita ya madaraka imekuwa kubwa sana na wakuu wengine wa vyombo vyanaendelea kutokuwatendea imara kwa kuwa wapo wakubwa wanaopenda wenzao wakosee wateuliwe wao.

Wapo wanaoona ni haki vyombo vikiyumba kwa sababu wanaamini wanayohaki ya kuteuliwa. Kila binadamu anamapungufu yake na mapungufu hayo hayawezi kufutika kwa kufitinishana Bali yatafutika kwa watu kusimamia haki na kurekebishana, Diwani ufanyapo kazi fanya kwa uwezo na utaalam wako huku ukisimamia wivu wa taasisi yako na taasisi nyingine washirika. Tusingependa kukuona unaondoka Kama mtangulizi wako na wala tusingependa kuona unaruhusu wakuu wengine waondoke au waondolewe kwa uzembe, shikamaneni mkaishinde Vita inayowatenganisha ninyi walinzi wa nchi yetu. Umepewa mamlaka ya kushauri na kushauriana na wakuu wengine wa vyombo na umepewa madaraka ya kuwakanya kwa kuwa wewe ndiye Mwenye taarifa za awali dhidi ya kila adui anayeibuka. Warejeshee ujasiri wapiganaji na kuwafanya wakiamini huku ukiwaelekeza umuhimu wa kujisimamia na kushikamana siyo kusimamiana na kudukuana.

Endapo atarejea Makungu akute misingi imara imeandaliwa ili ajifunze kwako na kusonga mbele, hata Kama ikitokea hatorudi Basi mrithi wako akute Taifa linaishi kwenye misingi na lipo imara.

Nakutakia kazi njema wewe na wakuu wote wa vyombo nikiwaomba mshikamane na kulingana mkipambana na nguvu ya siasa inayowagawa kwa maslahi ya watu binafsi.
badala ya serikali kuwalipa wananchi ili wasiende kazini kueneza ugojwa serikali ndio inaomba hela wananchi wanao kufa kwa uzembe wa serikali. kweli watawala wapumbavu ni mzigo kwa watawaliwa.
 
  • Dislike
Reactions: UCD
Kuwajadili hawa jamaa ni kupoteza nguvu, MB na muda. Tujadili mengine siyo hawa.
 
badala ya serikali kuwalipa wananchi ili wasiende kazini kueneza ugojwa serikali ndio inaomba hela wananchi wanao kufa kwa uzembe wa serikali. kweli watawala wapumbavu ni mzigo kwa watawaliwa.
Umesahau tulifanya fujo sisi tukapelekwa mahakamani tukawaomba wananchi watuchangie
 
Kuteuliwa kwa Diwan Athuman kuna manufaa kwa Taifa na ustawi wa taasisi hii nyeti kwa nchi yetu. Lakini kuteuliwa kwake kuna changamoto kwa sababu hajui vigezo vilivyotumika kumpa hiyo nafasi na siku akiondolewa hatoweza kuhoji kwanini kaondolewa na yawezekana akakabidhiwa ubalozi na maisha yakasonga.

Aliondolewa msaidizi wa kapilimba akapelekwa Tabora, ameondoka Kapilimba lakini pia wameondoka wazee wengi waliokuwa wana malengo ya kuwa wakurugenzi wa taasisi hii na hakuna aliyejiuliza Kama wameridhika au la.

Namwona Makungu akiteuliwa kuchuku nafasi hii siku za mbeleni, nawaona walioondolewa wakiendeleza Vita vya madaraka chini chini. Mhe. Mkulu yampasa kuwa making sana na taarifa anazopewa maana wapo wakwamishaji wengi kuliko wenye nia chanya na nchi yetu. Vita ya madaraka imekuwa kubwa sana na wakuu wengine wa vyombo vyanaendelea kutokuwatendea imara kwa kuwa wapo wakubwa wanaopenda wenzao wakosee wateuliwe wao.

Wapo wanaoona ni haki vyombo vikiyumba kwa sababu wanaamini wanayohaki ya kuteuliwa. Kila binadamu anamapungufu yake na mapungufu hayo hayawezi kufutika kwa kufitinishana Bali yatafutika kwa watu kusimamia haki na kurekebishana, Diwani ufanyapo kazi fanya kwa uwezo na utaalam wako huku ukisimamia wivu wa taasisi yako na taasisi nyingine washirika. Tusingependa kukuona unaondoka Kama mtangulizi wako na wala tusingependa kuona unaruhusu wakuu wengine waondoke au waondolewe kwa uzembe, shikamaneni mkaishinde Vita inayowatenganisha ninyi walinzi wa nchi yetu. Umepewa mamlaka ya kushauri na kushauriana na wakuu wengine wa vyombo na umepewa madaraka ya kuwakanya kwa kuwa wewe ndiye Mwenye taarifa za awali dhidi ya kila adui anayeibuka. Warejeshee ujasiri wapiganaji na kuwafanya wakiamini huku ukiwaelekeza umuhimu wa kujisimamia na kushikamana siyo kusimamiana na kudukuana.

Endapo atarejea Makungu akute misingi imara imeandaliwa ili ajifunze kwako na kusonga mbele, hata Kama ikitokea hatorudi Basi mrithi wako akute Taifa linaishi kwenye misingi na lipo imara.

Nakutakia kazi njema wewe na wakuu wote wa vyombo nikiwaomba mshikamane na kulingana mkipambana na nguvu ya siasa inayowagawa kwa maslahi ya watu binafsi.
Hamna nguvu

Hamjui kazi yenu ni nini pale upanga

Hamjui ikulu inafanya nn kabla yenu

Mnajua sponsor amehodhi madaraka baadhi ili kumnufaisha.

Mnajua sponsor ana nguvu kuliko nyinyi

Mnajua code agents wengi wamehodhiwa na wengine ni wafu japo ni hai.

Mnajua pesa haifiki kwa wakati duniani

Mnajua waajiriwa wapya si reliable kwa taasisi

Mnajua athuman hana backup na wala wasiri wake ofisin yaani hana watu

Mnajua anaogopa kurudi nyuma kuchungulia madesa ila anataka kufahulu wakat mchezo wa chess haujui kuucheza kimedani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom