Developing News: Jongwe Open to Talks

Kuhani

Kuhani

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2008
Messages
2,945
Likes
12
Points
135
Kuhani

Kuhani

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2008
2,945 12 135
Mugabe: I'm 'open' to talks with opposition

Zimbabwean leader dismisses international criticism ahead of Friday run-off

Tsvangirayi Mukwazhi
Associated Press
Updated 2 hours, 33 minutes ago

080626-mugabe-hmed-830a.rp350x350.jpg

President Robert Mugabe greets supporters in Chitungwiza,
Zimbabwe, at his final rally before Friday's controversial runoff election.

HARARE, Zimbabwe - Zimbabwean President Robert Mugabe said Thursday that he is “open to discussion” with the opposition, which is boycotting Friday’s runoff vote.

Opposition leader Morgan Tsvangirai called Wednesday for talks on forming a transitional authority. Mugabe had until Thursday shown little interest in talks, instead focusing on the election.

Tsvangirai, who had been the only candidate facing Mugabe, announced Sunday he was withdrawing because of state-sponsored violence.

For the full story: http://www.msnbc.msn.com/id/25382039/
 
M

Mafuchila

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2006
Messages
752
Likes
22
Points
35
M

Mafuchila

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2006
752 22 35
Morgan ameisaliti demokrasia, huwezi kujitoa kinyume na matakwa ya katiba, halafu watu wakakuchukulia kuwa upo serious.
 
jmushi1

jmushi1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2007
Messages
19,037
Likes
4,824
Points
280
jmushi1

jmushi1

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2007
19,037 4,824 280
Morgan ameisaliti demokrasia, huwezi kujitoa kinyume na matakwa ya katiba, halafu watu wakakuchukulia kuwa upo serious.
Political misscalculation!
Washaujaa mkenge wao na wakoloni wao!
Waafrika siku hizi wanaanza kubadilika.
Hatutaki influence za wakoloni!
Matatizo ya Waafrika waachiwe waafrika wenyewe kwani Makaburu kuwaingilia ingilia huku ukweli ni kuwa maslahi yao ni mbele kabla ya AFRIKA kutaturudisha utumwani!
Hivi mnajua gharama za hizo silaha zingeokoa maisha mangapi kwa kuprovide chakula,matibabu,madawa nk?
 
Kuhani

Kuhani

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2008
Messages
2,945
Likes
12
Points
135
Kuhani

Kuhani

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2008
2,945 12 135
Morgan ameisaliti demokrasia, huwezi kujitoa kinyume na matakwa ya katiba, halafu watu wakakuchukulia kuwa upo serious.
Katiba inasemaje kuhusu kujitoa?

lol!
 
F

Fundi Mchundo

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2007
Messages
4,764
Likes
125
Points
160
F

Fundi Mchundo

JF-Expert Member
Joined Nov 9, 2007
4,764 125 160
Same old, same old!
 
Susuviri

Susuviri

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2007
Messages
3,713
Likes
248
Points
160
Susuviri

Susuviri

JF-Expert Member
Joined Oct 6, 2007
3,713 248 160
Political misscalculation!
Washaujaa mkenge wao na wakoloni wao!
Waafrika siku hizi wanaanza kubadilika.
Hatutaki influence za wakoloni!
Matatizo ya Waafrika waachiwe waafrika wenyewe kwani Makaburu kuwaingilia ingilia huku ukweli ni kuwa maslahi yao ni mbele kabla ya AFRIKA kutaturudisha utumwani!
Hivi mnajua gharama za hizo silaha zingeokoa maisha mangapi kwa kuprovide chakula,matibabu,madawa nk?
Jmushi1: hapa hakuna cha makaburu au wazungu, Mugabe ni FISADI namba 1!! he has enslaved his own people na waafrika tumekaa tunaangalia tu eti ukoloni mamboleo. Huyo kibabu Mugabe kapitwa na wakati, he is senile, repugnant, unsavory character! Any leader who kills, maims and tortures his people is not fit to be a leader, acha kumtukuza dictator!!!
 
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Messages
80,824
Likes
46,286
Points
280
Age
28
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined May 15, 2006
80,824 46,286 280
Waafrika Ndivyo Tulivyo!!!! Mtu unaiba kura...unakataa matokeo....na mizengwe mingine kiiibaaaoooo....halafu unasema uko tayari kwa mazungumzo!!! Mazungumzo gani na ya nini wakati kila mtu anajua hukushinda uchaguzi. Mijitu mingine uungwana is a foreign concept kabisa. Yaani mijitu hata haya haina. Halafu baada ya hayo mazungumzo...Changirai anapewa umakamu wa raisi au uwaziri mkuu.....halafu kimya....humsikii tena....Waafrika Ndivyo Tulivyo!!!!
 
Susuviri

Susuviri

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2007
Messages
3,713
Likes
248
Points
160
Susuviri

Susuviri

JF-Expert Member
Joined Oct 6, 2007
3,713 248 160
Waafrika Ndivyo Tulivyo!!!!
Don't give up on our race! Tunajitahidi! But sometimes kweli tunakatisha tamaa! Kwa mfano kumpigia debe mass murderer eti ukoloni mamboleo?!
 
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Messages
80,824
Likes
46,286
Points
280
Age
28
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined May 15, 2006
80,824 46,286 280
Don't give up on our race! Tunajitahidi! But sometimes kweli tunakatisha tamaa! Kwa mfano kumpigia debe mass murderer eti ukoloni mamboleo?!
I have not given up. I'm just reminding people who are in denial about the truth by pointing it out. That's all. I don't relish saying 'Waafrika Ndivyo Tulivyo' but what else can I say after everything that's going on the continent? Wars all over the damn place...hunger...diseases....famine.....ethnic cleansing.....you name it. Why Africa, why? Baada ya Kenya, sasa Zimbabwe, afuataye sijui atakuwa nani? Do we ever learn anything?
 
Susuviri

Susuviri

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2007
Messages
3,713
Likes
248
Points
160
Susuviri

Susuviri

JF-Expert Member
Joined Oct 6, 2007
3,713 248 160
I have not given up. I'm just reminding people who are in denial about the truth by pointing it out. That's all. I don't relish saying 'Waafrika Ndivyo Tulivyo' but what else can I say after everything that's going on the continent? Wars all over the damn place...hunger...diseases....famine.....ethnic cleansing.....you name it. Why Africa, why? Baada ya Kenya, sasa Zimbabwe, afuataye sijui atakuwa nani? Do we ever learn anything?
That's a philosophical question that has been discussed by many but I think until we do not learn to be honest with ourselves hakuna jipya. Tatizo ni unafiki wetu! Tunaogopana, si tu Bongo hata huko Zimbabwe, Kenya, AU. Sasa tunapovumilia na kuchekeana even when we are pssed of by the time tunachoka tuna overreact. That is very sad and we really need to learn our lesson. democracy is great for venting your frustration and channeling your anger - angalia huko thread ya Obama tunavyolumbana kwa maneno lakini ukitoka pale mnaenda bar kunywa pamoja. Lakini mnapokuwa wanafiki na kila saa kumpigia makofi politely kiongozi wenu na vyombo vya habari kumtukuza basi utakuta watu wakienda baa wanapigana, mume anamchoma mke wake kisu na kumchoma moto mwizi etc.
Mugabe ameleta reign of terror in Zimbabwe stifling any dissent, itakapolipuka itakuwa Rwanda!
 
Forum statistics

Threads 1,236,304
Members 475,050
Posts 29,253,487