Developers !! Wazee wa code tukutane hapa GRAPHICAL USER INTERFACE DESIGN

Binafsi nimebase zaid kwenye mobile app so nakujibu kama ifuatavyo

Nadhani swali na unacho hitaji vinakinzana Ila acha nikujibu yote

GUI hii hizi sio code na wala huitaji kujua code zozote ,
bali uwe creative kwenye kudesign vitu kama mipangilio ya rangi na icon mara nyingi wanafanya graphics designer kwa adobe XD au illustrator

GUI implementation sasa kuileta kwenye code ndio kuna framework zake sasa binafsi nafanya zaidi flutter(dart )

Ila huko kuna django kwa Python na mengineyo
 
Habaran wana jamii leo nimekuja hapa tujifunze jinsi ya kutengeneza GUI apps

Naomben kujua ni application gan nzur kwa kudesign GUI

Tayar nkmeshasoma programming language zote C.C++.PYTHON.java. my sql .HTML .php .c#

Ila sasa nataka nijue kutengeneza GUI maswali yangu ni haya.

1.je kila programming language in GUI deaign app yake.

2.zp ni apps nzur kwa GUI design
Kwa python kuna toolking inaitwa tkinter ni nzuri kwa kutengenza GUI apps but i've never used it.
on other Hand C/C++/ unaweza tumia Windows API also GTK is good option for C ,C++ . for C sharp,VB you can use Visual studio with .NET

Capture.PNG
 
View attachment 1610374
Nashukuru sn kwa michango yenu sasa angalau kuna kitu nimeanza kuelewa

Kwaio ina maana kila programming language ina GUI design zake mfano c program inatumia GTK

Kwaio ukishadesign GUI kwa kuweka toolbar.menu bar.icons .buttons nk nyuma ya hz gui components unaandika code

Mfano nikichagua file nyuma yake naandika code

Naomben ufafanuz tafadhar km nipo sawa au ?
 
Skia kama unataka kutengeneza GUI apps za windows Best solution ni kutumia C# and kama ulivosema hapo you just drag and drop components then unaweka code behind
Capture.PNG

Na Kwenye Pure C au C++ with Win API unaweza kutengeneza GUI Applications,
no need of GTK but GTK might come in handy when i come to cross platform

View attachment 1610440

Na Kwenye Pure C au C++ with Win API unaweza kutengeneza GUI Applications,
no need of GTK but GTK might come in handy when i come to cross platform

View attachment 1610441
Ok ngoja niingie mzigon kisha ntaleta feedback ila angalau nimepata kitu
 
Back
Top Bottom