.Hakuna cha maana cha kubadilisha huko sikuhzi unless kma wewe ni developer na unatest baadhi ya vitu
Ila unaweza badilisha Default USB configuration ikawa kila ukichomeka usb kwenye computer inakua imeshaselect option unayotaka
Pia unaweza punguza animation duration kufanya simu yako iwe ina feel faster kwenye kufungua apps
View attachment 1751893View attachment 1751892
Boss nna redmi note 6 Pro ipo rooted and I don't know why cause nilinunua used.Mkuu huko wewe hapakuhusu huko huwa tunafanya umafia wa kuruhusu bootloader to be unlocked, pia kuruhusu adb ili kuweza kufanya maunyama yetu tunayoyajua.
Sijajua ilikua rooted vipi ila usijaribu kuinstall ipdate kwenye simu iliyokua rooted. Flash stock firmware utoe root kwanza ndio uendeleeBoss nna redmi note 6 Pro ipo rooted and I don't know why cause nilinunua used.
Sasa siku nyingi kdg nimepata software update ya MIUI 12, nilipo jaribu kuipakua na kumaliza ikataka ni install Manual!
SWALI, kwa nn inataka Manua na sio kama kawaida ya simu nyingine?
Natanguliza Shukurani
Boss nna redmi note 6 Pro ipo rooted and I don't know why cause nilinunua used.
Sasa siku nyingi kdg nimepata software update ya MIUI 12, nilipo jaribu kuipakua na kumaliza ikataka ni install Manual!
SWALI, kwa nn inataka Manua na sio kama kawaida ya simu nyingine?
Natanguliza Shukurani
Sijajua ilikua rooted vipi ila usijaribu kuinstall ipdate kwenye simu iliyokua rooted. Flash stock firmware utoe root kwanza ndio uendelee
Labda alinunua iliyokua na Global ROM huko AE sometimes zinakujaga ziko rooted kabisa, N'way hajasema alinunua wapi kwa mtu au huko Aliexpress..Mkuu iko rooted kwa sababu walifanya kafyekeche ya namba. Be care
Kweli aisee. Ukute mtu amechakachua hukoLabda alinunua iliyokua na Global ROM huko AE sometimes zinakujaga ziko rooted kabisa, N'way hajasema alinunua wapi kwa mtu au huko Aliexpress..
Kingine kama alivyosema MoneyHeist4 acheck IMEI no kama zina align ndani ya software na nyuma ya simu yake, Isije ikawa ni ya wizi na imefanyiwa ubatizo mpya...
Ndio ivo mkuu, wahuni hawafai..Kweli aisee. Ukute mtu amechakachua huko
BlessSijajua ilikua rooted vipi ila usijaribu kuinstall ipdate kwenye simu iliyokua rooted. Flash stock firmware utoe root kwanza ndio uendelee
Boss nimecheki namba zake nimekuta zime mach na model ya simuMkuu iko rooted kwa sababu walifanya kafyekeche ya namba. Be care
Namba zime mach na modelLabda alinunua iliyokua na Global ROM huko AE sometimes zinakujaga ziko rooted kabisa, N'way hajasema alinunua wapi kwa mtu au huko Aliexpress..
Kingine kama alivyosema MoneyHeist4 acheck IMEI no kama zina align ndani ya software na nyuma ya simu yake, Isije ikawa ni ya wizi na imefanyiwa ubatizo mpya...
Ulinunua wapi...!?Namba zime mach na model
Alieniuzia ni jamaa yangu ambae alitumiwa simu na ndugu yake China.Ulinunua wapi...!?
Aliexpress au mtaani..? Kama ni mtaani si ajabu mmiliki alikua mtundu wa kuchokonoa simu kama ulichukua Aliexpress Global ROM basi kama nlvoelezea hapo juu..
Inawezekana tu mbona..Alieniuzia ni jamaa yangu ambae alitumiwa simu na ndugu yake China.
Ilipatikana vp huko China hata jamaa yangu hajui