Zanzibar-Nyamwezi
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 1,244
- 764
Ambae kastaafu bila tatizo ni Mkapa tu
Anaposema kisiri siri ana maanisha nini?
Ni vyema akafafanua vyema.
Yaliyopo sirini mwa marais wetu ni mengi na mengine ni baya kuliko tunavyodhani.
Sasa tuambiwe hayo ya sirini ya Kikwete.
Na siku Magu akitoka madarakani yale yote ya sirini aliyoyafanya tutaelezwa tu, ikiwemo lile la.........
Itakuwa aliwagomea hicho kipengelekwanza tuanzie hapa kwanini walimuua Dr Mvungi?
Wacha tufukue makaburi
IQ yetu watanzania ipo chini sana. Sasa siri hii ina maana gani kwa sasa? Katiba inabadilishwaje kwa siri kwa mfano? Mungu tupe salama na generation hii ya wajinga.
Akina nani walimuua Dr. Mvungi?kwanza tuanzie hapa kwanini walimuua Dr Mvungi?
Wacha tufukue makaburi
mbona mijadala mikali inakuja kwa wingi baada ya tukio la Lissu? Lengo ni kufifisha mjadala wa kushambuliwa kwa Lissu au imebidi tu ije?Habari zenu familia ya JF.
Niende kwenye mada hapo juu.
Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba nchini, Deus Kibamba akihojiwa hivi punde na Radio DW Idhaa ya kiswahili ya Born Ujerumani, ktk kipindi cha Africa Wiki Hii, amesema Kikwete alijaribu kwa siri sana kuongeza mihula ya Urais lakini mpango wake wa kubadili kipengele hicho cha katiba ukashindikana.
Cha ajabu ni kuwa Kikwete alikuwa akidai kauchoka urais na anatamani muda wake uishe akapumzike. Hivi Kikwete kipindi kile angeibuka hadharani na kutangaza nia yake hiyo ya kutaka kuendelea na uongozi wa nchi hali ingekuwaje wakati huo?
Je kama Kikwete ndiye Rais hadi Leo tungekuwa na hali gani kiuchumi, kisiasa, kidiplomasia na maeneo mengine muhimu?
Mkuu usilinganishe mambo ya nyuma na haya madudu yanayoendelea. JK alisema bayana hana mpango wa kuongeza hata siku moja na ndivyo ilivyokuwa. Katiba yetu ni mbovu sana. Ni bahati huko nyuma tulikuwa tukipata marais wenye chembe za utu moyoni. Kasheshe pale inapokywa kinyume chake.Wewe ndio huwezi kuunganisha historia ya nyuma na mambo ya sasa, na ndio.maana hata mkisoma.maphd yenu hayawasaidii.....hili alilotwambia leo maana yake ni kubwa san, kwamba ccm haijaanza leo mbinu chafu za kubadilisha katiba kibabe
Mkuu usipende sana ku rely kwenye maneno ya hawa watu kwani huyu wa sasa yeye anaongea nini na anatenda nini?? Acts speaks louder than wordsMkuu usilinganishe mambo ya nyuma na haya madudu yanayoendelea. JK alisema bayana hana mpango wa kuongeza hata siku moja na ndivyo ilivyokuwa. Katiba yetu ni mbovu sana. Ni bahati huko nyuma tulikuwa tukipata marais wenye chembe za utu moyoni. Kasheshe pale inapokywa kinyume chake.
MaliziaAnaposema kisiri siri ana maanisha nini?
Ni vyema akafafanua vyema.
Yaliyopo sirini mwa marais wetu ni mengi na mengine ni baya kuliko tunavyodhani.
Sasa tuambiwe hayo ya sirini ya Kikwete.
Na siku Magu akitoka madarakani yale yote ya sirini aliyoyafanya tutaelezwa tu, ikiwemo lile la.........
Hivi kumbe kwelikulikuwa kuna hoja ya kumuongezea muda ili asimamie mchakato wa katiba mara nyingi wanaoanzisha hayo mambo ni watu wanaonufaika na utawala uliopo
hawa watu wako awamu zote Nyerere angestaafu mapema ila kila siku walimwaminisha bila yeye nchi itayumba, wakati wa Mwinyi ilibidi Nyerere aingilie kati, wakati wa Mkapa, Kikwete na hata rais wa sasa kuna watu wana mawazo hayp ya kuongeza muda wa madaraka ili mradi waendelee kufaidika binafsi lakini system yetu ilishakataa mambo ya kuongeza mudaHivi kumbe kweli