Deus Kibamba: Rais Kikwete alijaribu kwa Siri kubadilisha katiba ajiongezee mihula ya Urais ikashindikana.

Mbona huyu aliwahi kusema alijuta kugombea uraisi mara hii ameshabadikika tena
 
Na kwa kuongezea, kasema kwa haiwezekani kwa bunge hili la kawaida kubadilisha katiba mpaka kura ya maoni kwa wananchi wote!
 
Azungumzie ya sasa, hayo ya alitaka sijuwi kufanya nini sisi hayatusaidii kitu huu uharo wake apeleke mbele huko, kama hana la kusema ni vema anyamaze kimya.
 
Hata siamini, maana mchakato wa kubadili Katiba huanzia kwa Wananchi > Bungeni > Raisi.
Siyo kweli mkuu. Unawafahamu Kagame na Nkurunzinza? Je, dhambi zao za kubadili katiba zilianzia kwa wananchi?

Kwa mfano hivi sasa Nkamia anatumika tu kama pedi ili baadaye ije kuonekana ilianzia kwa wananchi. Africans have huge proportion of animal nature in their biological make up, that's why even the level civilization is negligibly small.
 
Kkwete n rais wa kmataifa na ndo maana adi leo tumamuona ulaya kwenye vkao, co uchwara tulyenae saiv
 
Namuheshimu mtoa maneno haya lakini kwa hili amepotosha umma,
Ni kweli amepitosha umma,mod huu uzi ufungwe tu usionekane.
Wote tunajua nguvu aliyonayo Rais kwenye vitu kama hivi ambavyo huweka wateule wake na angewapa maneno ya anachokitaka yeye.
JK alichoka ndio maana akawa anatoka nje kupumzika .
 
Naona wanajaribu sasa kuizima nyota ing'aayo ya JK!

JK huyu huyu aliyetaka kutupa katiba mbadala wa hii, Mtu aliyetaka kutupa katiba inayopunguza madaraka ya Rais eti ndo afanye mipango hiyo ya kujiongezea muda?

Watafute lingine la kumchafua siyo hili
 
IQ yetu watanzania ipo chini sana. Sasa siri hii ina maana gani kwa sasa? Katiba inabadilishwaje kwa siri kwa mfano? Mungu tupe salama na generation hii ya wajinga.
 
Habari zenu familia ya JF.
Niende kwenye mada hapo juu.

Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba nchini, Deus Kibamba akihojiwa hivi punde na Radio DW Idhaa ya kiswahili ya Born Ujerumani, ktk kipindi cha Africa Wiki Hii, amesema Kikwete alijaribu kwa siri sana kuongeza mihula ya Urais lakini mpango wake wa kubadili kipengele hicho cha katiba ukashindikana.

Cha ajabu ni kuwa Kikwete alikuwa akidai kauchoka urais na anatamani muda wake uishe akapumzike. Hivi Kikwete kipindi kile angeibuka hadharani na kutangaza nia yake hiyo ya kutaka kuendelea na uongozi wa nchi hali ingekuwaje wakati huo?

Je kama Kikwete ndiye Rais hadi Leo tungekuwa na hali gani kiuchumi, kisiasa, kidiplomasia na maeneo mengine muhimu?
huyu kibamba nae amekuwa zwazwaaa, au?
anaacha kumzungumzia aliyopo na yanayoendelea kama mwanaume kweli, anamrukia mzee wa watu anayejipumzikia huko msoga....asiye na mamlaka wala neno na mtu!!!
 
Kwa maoni yangu huyu Kibamba anajaribu kusafisha anayetaka kubadili katiba kwa kuchafua mtu mwingine. Kitendo hiki ni kichafu na hakifai.
Je, Hiyo mtu pamoja na kwamba alisoma UDSM asili yake inafahamika?
Natumia fursa hii kuwasihi anayekusudia kubadili katiba yetu kwa manufaa yake binafsi aache kwa kuwa si vizuri na haifai kabisa.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom