lara 1
JF-Expert Member
- Jun 10, 2012
- 15,700
- 29,111
Wakubwa zangu shikamooni!!!!!!!!
Peopleeeeeess Niajeeeeeeeeee!!!!!
Leo bana kuna Zombi langu la longiiiiiiii, limeniita mahali nikalishauri huko kuhusu ndoa yake! Zombi hili sugu kama nini, alioa sasa mkewe akajifungua mwanzoni mwa mwaka, she was like 63Kg cause ana curves na kaurefu. Sasa baada ya kuleta chema KG zimefika 89 na zinaongezeka!!!!!! (with all due respect She is Obese!!!!Tusemage tu ukweli) Sasa bwana akajikuta mvuto umempotea kacheat na kident cha chuo kwa muda tu, ila mkewe hakujua wala kustukia chochote.
I guess ukijikausha kumtafuta Mungu, God decides to find you somehow in certain point of ya life!!!!!!! Mwenyewe tu kajitafakari kaamua kurudisha majeshi kwa wife Fully. He is ready to start all over! (Lets give him some credits for wanting to TRY atleast) Tatizo sexual life is worse! Anamuheshimu sana the baby mama bt hana hamu nae tena!!!! Kamchoka design flani! Sasa ndo amejitafakari to TRY ONCE MORE ikishindikana amdevorce tu na kuangalia maisha mengine kuliko Mateso bila chuki.
Kumwambia anadai keshajaribu sanaaa bt shosti anakuwa mkali sana (Si mnajua mtu mnene ukimwambia mnene anavopasuka na kufuraa!!!!!!! Hivo kaacha tu kumsema coz it hurts her feelings) Mimi si mnajua ALWAYS REASONABLE!!!!!! Bi dada (Mwanamke mwenzangu yule atiii) namuonea imani kweli kuachwa ila The guy deserves to be realy happy! Hizi games za living a lie siziungi mkono! Mi nimemshauri temporary solution za kumbadilishia wardrobe Kumtafutia nguo za wanene ila nzuri ili ajipatie na kutoka sexy na kitambi chake, waende vaccation kuspice up things, ampendezeshe yaani!
Kuna siku hapa The Boss aliongelea swala la mtu kuwa turned on na sense of humour! Busara! Heshima! Appreciation na qualitative aspects kama hizo!!!!!!!!!! Mimi hili siliamini, bt hey hii ndo solution ya yule zombiii kuokoa ndoa yake!!!!!! How does this work for real!

Last edited by a moderator: