Desplay ya Deskotp yangu imebadili rangi baada ya kubadili waya wa VGA

Mamserenger

JF-Expert Member
Oct 14, 2019
1,157
2,078
Wakuu wangu naombeni msaada wa vitu hivi kwanza

1.Desktop yangu imebadili Rangi ya Display nakuwa kama blue ilio fifia kiasi inapelekea kusoma kwa shida sanaa na hata kuchapa kazi zangu baada ya kudisturb waya wa VGA.

2.Pia CPU pamoja na Feni zote zina vumbi sanaa msaada niweze kurekebisha mwenyewe.

3.Pia msaada wa kupata product key ya 2010,2013,2016. Either hata kwanjia ya mtandao.
 
Wakuu wangu naombeni msaada wa vitu hivi kwanza....
Uwezekano mkubwa waya mbovu ama hujafit vizuri waya/port.

Vumbi unafuta tu, tafuta siku upo free fungua safisha na mswaki, kama UnA hela zipo dawa za kusafishia ambazo ni Alchol almost asilimia 100.

Hizo key ni office?
 
Back
Top Bottom