Despite the global COVID-19 pandemic, Tanzania has achieved its middle-income vision five years ahead of schedule

N'yadikwa

JF-Expert Member
Aug 10, 2014
6,825
9,532
https://www.google.com/url?sa=t&sou...FjABegQIDBAG&usg=AOvVaw0T_1WgosfwnukRR0HlAUvi

Nimesoma hii makala Forbes mwandishi ameandika vizuri sana.

Here is a piece of writing from the article:

Despite the global COVID-19 pandemic, Tanzania has achieved its middle-income vision five years ahead of schedule. Tanzania achieved the status, with a GNI per capita of USD $1080 up from an average of USD $622 in the previous administration. “I congratulate all my compatriots on this historic achievement.

We had envisaged to achieve this status by 2025 but with strong determination, this has been possible in 2020.

God bless Tanzania,” Dr. Magufuli posted on Twitter when the World Bank had just announced the new status for Tanzania on 1st July, 2020.

This development was markedly celebrated by authorities, patriots and the common citizens, an outpour of joy from its ambitious population following years of strong focus on delivery, hard work and determination.

PICHA: Miradi mbalimbali ya ujenzi ikiendelea hapo kwenye picha kuna ujenzi wa mabarabara vijijini kwa kiwango cha lami,ujenzi wa mradi mkubwa wa umeme Afrika wa Mwl. Nyerere, ukuaji wa miji,huduma za kijamii kama vile usafiri na maji tiririka vijijini pamoja na umeme kila kijiji. Uchumi unakua kwa kasi.

Kenya hawataki kusikia hizi habari.

20190805_173801.jpg
images%20(45).jpg
images%20(46).jpg
20200801_121036.jpg
20190729_130748.jpg
20200801_120150.jpg
20200801_120637.jpg
images%20(47).jpg
 
Gazeti maarufu linaloandika habari za matajiri limeshangazwa na ukuwaji wa uchumi wa Tanzania kutoka watsani wa pato la US$622 hadi US$1080 nakuingia uchumi wa kati. Kwa hesabu za Benki ya Dunia WB tulitarajiwa kufika huko 2025 nasie tumetimiza lengo miaka mitano kabla. Naimani tukiendelea hivi basi kufikia 2030 tunaweza omba uanachama wa G20 na kuwa nchi ya kwanza Africa kuwa mwanachama wa G20. TANZANIA IS AHEAD OF SCHEDULE
 
Kutwa nzima Vitumbua viwili na kahawa ndogo huu si uchumi wa kati huu ni uhuni wa kati
 
Back
Top Bottom