Mkuu nna uzoefu wa kutosha wa kazi hizi, nafanya Sound proof, wall color designing (kwa style tofauti), nafanya artwork Na decorations mbalimbali iwe Night club, Lounge, Pub n.k, nafanya designing aina mbalimbali, hata ukiwa huna idea yoyote, nionyeshe hiyo place mm ntakupa idea, ukiridhia tunafanya kazi, Kama uko interesting nitumie namba yako inbox nikutumie picha kadhaa Ili uone kazi zangu, nipo Dar!Habarini wakuu, nahitaji designer atakayeweza ku design pub/lounge reception pale nahitaji pawe penye ubunifu wa hali ya juu ikiwemo lightings na ujanja mwingine. Napatikana jijini Dsm, karibuni.
Ukisha pata design, naomba Kazi ya kuandaa cost estimates.. Pia naweza kukupa quotation yangu ya kufanya hio Kazi as a contractor...Habarini wakuu, nahitaji designer atakayeweza ku design pub/lounge reception pale nahitaji pawe penye ubunifu wa hali ya juu ikiwemo lightings na ujanja mwingine. Napatikana jijini Dsm, karibuni.