Asalamaleko
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 2,054
- 6,218
Faida yake ni kuvunjika miguu mikono viuno meno kupasuka kichwa na kuhatarisha maisha kwa watu wazima...
Halafu jiko liko chini au juu pia? Je nyumba ina family room pia au ni sitting room tu?Ndugu wanamajilisi, hiyo "design" tajwa hapo Juu ndio Ujenzi wa Kisasa?
Au ni kipi hasa kinapelekea Mafundi wengi kushauri Ujenzi wa namna hiyo?
Hazungumzii gorofa.Halafu jiko liko chini au juu pia? Je nyumba ina family room pia au ni sitting room tu?
Ni vizuri sana iwapo juu itakuwa ni sehemu ya family tu, yaani bedrooms, family room, na bathrooms at least mbili: moja ndani ya master, na nyingine inayokuwa shared na vyumba vingine. Halafu floor ya chini inakuwa na garage, jiko,storage, laundry, dining, living room, guest room na public bathroom.
Yeah ni nzuri ila hapa kwangu sio ngazi mbili ni moja tu, na naona panapendeza nikijenga kwangu ntaweka pia...au ishakua old fashion?Juu dining,chini living room ngazi mbili
Anaposema "juu" na "chini" ana maana gani; mimi niliewa kuwa ni ghorofa yenye floor ya juu na floor ya chini.Hazungumzii gorofa.
Kuna ile design kunakuwa na step moja au mbili Kati ya dining na living roomAnaposema "juu" na "chini" ana maana gani; mimi niliewa kuwa ni ghorofa yenye floor ya juu na floor ya chini.
Nope...nilikuwekea picha nimeifuta kwangu iko hio two steps. Living room iko chini inakupa high ceilingYeah ni nzuri ila hapa kwangu sio ngazi mbili ni moja tu, na naona panapendeza nikijenga kwangu ntaweka pia...au ishakua old fashion?
Anaposema "juu" na "chini" ana maana gani; mimi niliewa kuwa ni ghorofa yenye floor ya juu na floor ya chini.
Mi nimeielewa, naijua....hii design sio ya kizamani?Nope...nilikuwekea picha nimeifuta kwangu iko hio two steps. Living room iko chini inakupa high ceiling
But watoto kama wamezaliwa hapo, wala hakuna shida. Wanazoea tu.Ujenzi wa hivi si mzuri kama una watoto wadogo, walevi wa pombe chakari, wazee na wenye magonjwa kama kutembe nk nk. Hizi nyumba ni za show off sana na inapendeza kujenga kama nyumba ya ziada tu sio hiyo hiyo mwenzangu na mm. Huu ni ushauri wa msingi sana ila watu wengi ni wabishi na kupenda kujionyesha kwa watu
Anaposema "juu" na "chini" ana maana gani; mimi niliewa kuwa ni ghorofa yenye floor ya juu na floor ya chini.
Hii design ina leta sense au feeling ya ukubwa...hata eneo kama ni dogo..yaan sebule kama ndongo bas itaonekana kubwa...na nyumba itaonekana kubwaNdugu wanamajilisi, hiyo "design" tajwa hapo Juu ndio Ujenzi wa Kisasa?
Au ni kipi hasa kinapelekea Mafundi wengi kushauri Ujenzi wa namna hiyo?
Ujenzi wa hivi si mzuri kama una watoto wadogo, walevi wa pombe chakari, wazee na wenye magonjwa kama kutembe nk nk. Hizi nyumba ni za show off sana na inapendeza kujenga kama nyumba ya ziada tu sio hiyo hiyo mwenzangu na mm. Huu ni ushauri wa msingi sana ila watu wengi ni wabishi na kupenda kujionyesha kwa watu
Ndugu wanamajilisi, hiyo "design" tajwa hapo Juu ndio Ujenzi wa Kisasa?
Au ni kipi hasa kinapelekea Mafundi wengi kushauri Ujenzi wa namna hiyo?
Huo ni ujenzi wa kijadi wa nyumba za tembe za Wagogo nilioukuta maeneo mengi Dodoma. Unapoingia ndani ya nyumba unashuka sebuleni na kupata ubaridi. Pia dari liko karibu sana na usawa wa ardhi. Kwahiyo ukiichimbia sebule chini, dari linakuwa juu kidogo.
Kuna changamoto kubwa ya kuyatoa maji yakiingia sebuleni, panageuka dimbwi! Hata wanaopiga deki wanapata shida sana kukausha maji.
Labda pawepo namna ya kutoboa shimo la kutolea maji nje, lakini pia liwe linazibwa. La sivyo utakaribisha vyura, mijusi na hata nyoka!
Kama umewahi kuziona hizo sebule za kigogo huwezi kuongelea kukausha maji unakokufikiria! Nazungumzia nyumba za tembe za kigogo ambazo hata paa si la bati, na sakafu ni udongo. Siyo nyumba unazofikiria wewe!Bado kuna watu wanadeki kwa kusukuma maji mengi! Au unaongelea maji gani, mafuriko?
Siku hizi neno 'kupiga deki' limebadilishiwa maana, sebleni ni mwendo wa kufuta na kukausha tu.
Kama umewahi kuziona hizo sebule za kigogo huwezi kuongelea kukausha maji unakokufikiria! Nazungumzia nyumba za tembe za kigogo ambazo hata paa si la bati, na sakafu ni udongo. Siyo nyumba unazofikiria wewe!
Kwa kukusaidia tu, jaribu kutembelea nyumba yenye sakafu ya udongo na sebule iwe chini, halafu imwagie maji, ndipo utaelewa changamoto niliyoiainisha
Kama ningazi moja ni nch 6Mkuu kwa kuzingatia kuwa Familia inajengwa na Makundi hayo uliyoyataja hapo Juu, kasoro la Ulevi-Chakali (mana hili ni la kujitakia)
Ushauri wako ni wa Msingi na umezingatia weledi!!!
Hapana Mkuu.., namaanisha hizi nyumba za kawaida ila ile ground floor pale sebuleni unakuwa unashuka Ngazi na ukielekea Vyumbani au dining unakuwa unapanda ngazi, kiasi ukiwa umekaa sebuleni unakuwa Chini na wale waliokaa dining wanakuwa Juu!!!