Mazingira tu ya hali ya hewa, vyumba vikiwa juu hewa na ubaridi unapatikana. Alafu kuigana tu wakati mwingine bila sababu.Ndugu wanamajilisi, hiyo "design" tajwa hapo Juu ndio Ujenzi wa Kisasa?
Au ni kipi hasa kinapelekea Mafundi wengi kushauri Ujenzi wa namna hiyo?
Ahsante Mkuu.., lakini je, kuna Vipimo ambavyo vinashauriwa ili angalau hizo Ngazi zisiwe na madhara kwa Watumiaji hususani Watoto?Mazingira tu ya hali ya hewa, vyumba vikiwa juu hewa na ubaridi unapatikana. Alafu kuigana tu wakati mwingine bila sababu.
Ujenzi wa hivi si mzuri kama una watoto wadogo, walevi wa pombe chakari, wazee na wenye magonjwa kama kutembe nk nk. Hizi nyumba ni za show off sana na inapendeza kujenga kama nyumba ya ziada tu sio hiyo hiyo mwenzangu na mm. Huu ni ushauri wa msingi sana ila watu wengi ni wabishi na kupenda kujionyesha kwa watuAhsante Mkuu.., lakini je, kuna Vipimo ambavyo vinashauriwa ili angalau hizo Ngazi zisiwe na madhara kwa Watumiaji hususani Watoto?
Nb: hii bado fashion ya Kisasa kwa Wakati tulionao?
Mkuu kwa kuzingatia kuwa Familia inajengwa na Makundi hayo uliyoyataja hapo Juu, kasoro la Ulevi-Chakali (mana hili ni la kujitakia)Ujenzi wa hivi si mzuri kama una watoto wadogo, walevi wa pombe chakari, wazee na wenye magonjwa kama kutembe nk nk. Hizi nyumba ni za show off sana na inapendeza kujenga kama nyumba ya ziada tu sio hiyo hiyo mwenzangu na mm. Huu ni ushauri wa msingi sana ila watu wengi ni wabishi na kupenda kujionyesha kwa watu
Karibu mkuuMkuu kwa kuzingatia kuwa Familia inajengwa na Makundi hayo uliyoyataja hapo Juu, kasoro la Ulevi-Chakali (mana hili ni la kujitakia)
Ushauri wako ni wa Msingi na umezingatia weledi!!!
Ni kweli kuna nyumba wote ni walevi na asilimia kubwa ya uharibifu wao huwa sababu ya ulevi wao, wanapoteza funguo hivyo vitasa vinapadilishwa mara kwa mara, kuvunja vioo, koki za bomba, flash tank nk nk yaani mpaka unaona aibu ww unayeenda kurekebisa.Mkuu kwa kuzingatia kuwa Familia inajengwa na Makundi hayo uliyoyataja hapo Juu, kasoro la Ulevi-Chakali (mana hili ni la kujitakia)
Ushauri wako ni wa Msingi na umezingatia weledi!!!
Unazungumzia nyumba ya ghorofa au?Ndugu wanamajilisi, hiyo "design" tajwa hapo Juu ndio Ujenzi wa Kisasa?
Au ni kipi hasa kinapelekea Mafundi wengi kushauri Ujenzi wa namna hiyo?
Mkuu kwa kuzingatia kuwa Familia inajengwa na Makundi hayo uliyoyataja hapo Juu, kasoro la Ulevi-Chakali (mana hili ni la kujitakia)Ujenzi wa hivi si mzuri kama una watoto wadogo, walevi wa pombe chakari, wazee na wenye magonjwa kama kutembe nk nk. Hizi nyumba ni za show off sana na inapendeza kujenga kama nyumba ya ziada tu sio hiyo hiyo mwenzangu na mm. Huu ni ushauri wa msingi sana ila watu wengi ni wabishi na kupenda kujionyesha kwa watu
Hapana Mkuu.., namaanisha hizi nyumba za kawaida ila ile ground floor pale sebuleni unakuwa unashuka Ngazi na ukielekea Vyumbani au dining unakuwa unapanda ngazi, kiasi ukiwa umekaa sebuleni unakuwa Chini na wale waliokaa dining wanakuwa Juu!!!Unazungumzia nyumba ya ghorofa au?
Kabisa Mkuu..,Ni kweli kuna nyumba wote ni walevi na asilimia kubwa ya uharibifu wao huwa sababu ya ulevi wao, wanapoteza funguo hivyo vitasa vinapadilishwa mara kwa mara, kuvunja vioo, koki za bomba, flash tank nk nk yaani mpaka unaona aibu ww unayeenda kurekebisa.
Picha ilikuwa inahusika sana hapaNdugu wanamajilisi, hiyo "design" tajwa hapo Juu ndio Ujenzi wa Kisasa?
Au ni kipi hasa kinapelekea Mafundi wengi kushauri Ujenzi wa namna hiyo?
Kabisa mkuu na hivi tunawaacha na ma house girl basi shida tupu ?Kabisa Mkuu..,
Changamoto kubwa nyingine ni kwa hawa Watoto wa mwaka mmoja hadi Mitatu hivi, yani kwenye Michezo yao ya Kukimbizana haichukui muda unaona wametanguliza na Vilio Juu huyu anavuja damu, mwingine kabeba jino kwenye Mkono basi inakuwa tafrani tupu!!!
Hata mimi yaani mara nyingi wanashauri kwenye maeneo ya joto ili dali liwe juu iwapo nyumba ni fupi vipimo vya juu.Sijawahi kuipenda hiyo design.
Juu dining,chini living room ngazi mbiliUkiachana na hizo changamoto zilizosemwa ni design nzuri mie naipenda....