Describe your self kwa neno moja tuu kati ya haya

Yani shoga a'ngu CL, Nicas Mtei hata hanogi,
kila Bar ana demu na kila Gest ana chumba chake maalum.
Me keshanitosha,khaaa!!

duh! Yani Swahiba ndo unataka kufa na mimi? Haya hvi we ulikuwa wa bar ip n ni gest ipi tulikuwa twalala? Au wewe ni wa pale machi machi? Au kamanyola? Nikumbushe please Madame B.
 
Last edited by a moderator:
duh! Yani Swahiba ndo unataka kufa na mimi? Haya hvi we ulikuwa wa bar ip n ni gest ipi tulikuwa twalala? Au wewe ni wa pale machi machi? Au kamanyola? Nikumbushe please Madame B.

Dah,
Ulivyotaja Kamanyola moyo wangu umelipuka lip!!
Afu huwezi taja Kamanyola bila kupataja Bakule!
Vp ndo mitaa ya kujidai nini?
 
Last edited by a moderator:
Dah,
Ulivyotaja Kamanyola moyo wangu umelipuka lip!!
Afu huwezi taja Kamanyola bila kupataja Bakule!
Vp ndo mitaa ya kujidai nini?

Kumbe wewe ndo tulikuwa twakutana pale kamanyola? Dah! Za cku nying? Nataka unirudshie wallet yangu ulochukua.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom