Derimto afiwa!

PakaJimmy

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
16,203
8,723
Wakuu,
Nimepata ujumbe wa simu ufuatao toka kwa member mwenzetu Derimto, ambaye kimakazi anaishi Arusha, namnukuu:

"Bro PJ,
I have lost my only Brother that i have!
He passed away Yesterday!
Najiandaa kuelekea Mbozi-Mbeya siku ya kesho asubuhi (28/7) kwaajili ya taratibu za mazishi"
"
mwisho wa kunukuu.

Derimto,
Pole sana best!...sina namna ya kukuonyesha jinsi ninavyoguswa na suala hili, lakini in short hii ni njia yetu sote, na kinachobaki ni kumwombea kaka yetu!
Pole Mkuu, safari njema!



 
Tukiwa kama JF members.......tunaomba wenzetu mlioko eneo ambalo limetajwa na mhusika....mtuwakilishe sisi tulio mbali....ili tuweze kufarijiana.....naamini JF is beyond keyboards.......
 
pole mwanaharakati wewe ulimpenda kakayako
lakini mungu amempenda zaid
apumzike kwa amani.
 
Pole sana mkuu, tumepokea taarifa hizi za msiba wa bratha ako kwa masikitiko. Mungu atakupa nguvu ya kucope na hali hii.
 
Pole sana Derimto,

Mungu wa faraja zote na awafariji wewe na ndugu wote
 
Pole sana Mkuu na wafiwa wote. Mungu awape nguvu na faraja katika wakati huu wa machungu na magumu.
 
Derimto. Pole sana my Dear Brother...................

While we are mourning the loss of our friend/brother, others are rejoicing to meet him behind the veil. ~John Taylor
 
Pole sana mdau kwa kuondokewa na kaka yako wa pekee.

Mungu akupe moyo wa subra wakati huu mgumu kwako na familia kwa ujumla.
 
Back
Top Bottom