Ukitupia gia turbo inata "owhooooooooooooo"..., Truck tamu sana!Mtoa mada umenikumbusha Scania 111 enzi hizo zile za mwanamboka!!! Mlio wa gari na namna gia zilivyokuwa zinaingizwa ulikuwa mziki tosha kwa dereva na watu barabarani.ilikuwa gia ikiingizwa watu wanashangilia barabarani kwa namna ilivyokuwa inaita!!!
Mkuu hii ni fasihi tu! Usichukulie kila kitu serious Mkuu! Ni fiction story!
So sad! dereva kakata moto kabla ya kukaguliwa ubora wa leseni yakeLiterature tulivu big up mkuu
Mgibeon SAFARI NI SALAMA TULIZA BOLI.
Ni kweli ilikuwa mziki hatimaye ni historia..Hii chuma kutoboa ni mziki na sijui kama tutatoa hata vidumu mzigo wenyewe loose cargo belt zimelegea suka kakomaa trip dume wantashi kamoto Mungu tusaidie tufike salama
.Lory litafika na abiria wake salama kabisa.
Watu mna fasihi!Fasihi katika wakati wake. Nimekuelewa sana mkuu Mgibeon na naamini ujumbe utafika.
Lakini je, pindi unamwambia haya maneno alikuwa bado kaweka "earphone/headphone" masikioni au alitoa akawa anakusikiliza!!!??!?? Kama alitoa atajitahidi kuelewa maan naamini hata kama dereva wako ni mbishi, hawezi kuacha kusikiliza na kuelewa hata kwa uchache.
Lakini kama hakutoa hizo "earphone/headphone" kwa kiburi chake, nakushauri shuka kadri uwezavyo. Msubiri akiwa anarudi huku amebebwa kwenye gari la wagonjwa/jeneza na hapo utamwambia nilikuambia lakini hukunisikiliza.
Walio pembeni watakuelewa.
Sijawahi kuiona!Nauliza kuna SCANIA 113 yenye retarder???mmmmh kwa uelewa wangu versions za Scania zenye hiyo kitu ni kuanzia 420 series