Dereva wangu, Hii ni Scania 113H- 310, tuliza akili

na kweli lazima akubabatize kwenye .......vipi lakini kwenye upande wa Kuova teki..maana kuna barabara zingine noma
Dereva wetu anaovateki hadi kwenye kona, convoi etc... Yeye anamuiga dereva anayeendesha huko kwa jirani... lakini anasahau huyo anayemuiga hana SEKENKE, LUKUMBULU, MLIMA NYOKA, WAMI WALA KITONGA
 
na kweli lazima akubabatize kwenye .......vipi lakini kwenye upande wa Kuova teki..maana kuna barabara zingine noma
Mmmhhh.. Hapo sijataka kupazungumzia kabisa Mkuu, mule Iyovi anachomoka mzima mzima dah, muda huku nahisi mkojo unataka kutoka.
 
Tena huwa anajifanya kukutuma uchungulie nyuma kupitia dirisha la mlango, halafu anakukamua kifua kwa gari
Ha ha haaaaaaa.., kuna siku nikamwambia "Bro, tutauana ujue kwamichezo yako ya ajabu", akanijibu "mimi ni dereva ninayejiamini", Nikakaa zangu kimya nikazuga nafunua pale kwenye fusebox .
 
Ha ha haaaaaaa.., kuna siku nikamwambia "Bro, tutauana ujue kwamichezo yako ya ajabu", akanijibu "mimi ni dereva ninayejiamini", Nikakaa zangu kimya nikazuga nafunua pale kwenye fusebox .
Wa huku yeye alisema...
HAPANGIWI NAMNA YA KUENDESHA
DRIVING SCHOOL NA NIT ALIKWENDA MWENYEWE NA HAKULIPIWA ADA NA YEYOTE
LESENI ALIIKATA KWA PESA ZAKE, TENA NI HALALI NA ILIYOFUATA UTARATIBU
BARUA YA KUOMBA KAZI ALIANDIKA MWEYEWE NA HAKUANDIKIWA NA MTU...

ALitaka kuninasa vibao nilipomuuliza... JOPO LA WALIOKUFANYIA ENTERVIEW ULIWALETA WEWE?
 
Dereva wetu anaovateki hadi kwenye kona, convoi etc... Yeye anamuiga dereva anayeendesha huko kwa jirani... lakini anasahau huyo anayemuiga hana SEKENKE, LUKUMBULU, MLIMA NYOKA, WAMI WALA KITONGA
Ha ha haaaaa, convoi ni noma Mkuu, eti analeta ligi na wenye ma'bus, namwambia hao jamaaa ni vichaa acha waende anakomaaa kuovertake bus 6 kwa pamoja zinazoenda bumper to bumper.
 
ni ushauri mzuri kwa dereva wako. ni vema akusikilize utingo wake kama kelele za abiria wake hasikilizi, japo kwenye hao abiria wamo wenye ujuzu zaidi, na bila wao na mizigo yao safari isingekuwepo. na pia kelele zao ni ishara, walau achungulie kwenye kioo anaweza kuona. na utingo unapopanda kupumzika abiria walio kwenye carbin wawe macho kumsemesha moja mawili asisinzie. la sivyo itakuwa ni janga kwetu sote na 113/310 scania lbt.
 
Dereva mwenyewe mbishi hataki kupangiwa wala kulekezwa yy haelewi mguu kati wa retarder condition
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom