Dereva wa Uber.

mdulla

mdulla

Member
Joined
Jan 19, 2019
Messages
46
Points
95
mdulla

mdulla

Member
Joined Jan 19, 2019
46 95
Natafuta gari kwa mkataba nifanye biashara ya uber, gari iwe mpya na ulaji wa mafuta uwe mdogo. Gari iwe imekamilika vibali ili nifanye kazi kwa uhuru, mimi ni dereva mzoefu kabisa kweny hii biashara. Na sisumbui. Asanteni
Mawasiliano 0743722902
Email mdullanick@gmail.com
 
Troll JF

Troll JF

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2015
Messages
7,155
Points
2,000
Troll JF

Troll JF

JF-Expert Member
Joined Feb 6, 2015
7,155 2,000
Natafuta gari kwa mkataba nifanye biashara ya uber, gari iwe mpya na ulaji wa mafuta uwe mdogo. Gari iwe imekamilika vibali ili nifanye kazi kwa uhuru, mimi ni dereva mzoefu kabisa kweny hii biashara. Na sisumbui. Asanteni
Mawasiliano 0743722902
Email mdullanick@gmail.com
We dogo hujapataga tuu gari? Au umepata umeshazinguana na mmliki
 
Doubleg Mwamasangula

Doubleg Mwamasangula

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2017
Messages
958
Points
1,000
Doubleg Mwamasangula

Doubleg Mwamasangula

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2017
958 1,000
Mahesabu ya wiki kwa mkataba inakuwa ngapi?
Kuna mdau anataka anunue passo mbili anaagiza took Japan
Natafuta gari kwa mkataba nifanye biashara ya uber, gari iwe mpya na ulaji wa mafuta uwe mdogo. Gari iwe imekamilika vibali ili nifanye kazi kwa uhuru, mimi ni dereva mzoefu kabisa kweny hii biashara. Na sisumbui. Asanteni
Mawasiliano 0743722902
Email mdullanick@gmail.com
 
shujaa mjinga

shujaa mjinga

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2017
Messages
353
Points
500
Age
49
shujaa mjinga

shujaa mjinga

JF-Expert Member
Joined Feb 10, 2017
353 500
Mzoefu na siyo msumbufu? Mbona huna gari mpaka leo? Hizi sifa nyingine mnazojipa zinatia mashaka
 
Rawasha

Rawasha

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2014
Messages
767
Points
500
Rawasha

Rawasha

JF-Expert Member
Joined Oct 1, 2014
767 500
Hebu jieleze vizuri kama ni dereva mzoefu.Gari ya mkataba wa aina gani unaitamani?
Malipo au hesabu unayoweza leta ni kiasi gani?
 
mdulla

mdulla

Member
Joined
Jan 19, 2019
Messages
46
Points
95
mdulla

mdulla

Member
Joined Jan 19, 2019
46 95
Ninalo hadi sasa ila nataka gari ambayo imekamilika vibali sio kukimbizana na watu wa jiji au trafiki, nataka fanya kazi kwa uhuru
 
Doubleg Mwamasangula

Doubleg Mwamasangula

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2017
Messages
958
Points
1,000
Doubleg Mwamasangula

Doubleg Mwamasangula

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2017
958 1,000
Hujaeleweka hii ni hesabu ya wiki au siku punguza presha jieleze
Hapa ndo unajiuza mkuu ndo usaili wenyewe huu Kama unashindwa kujieleza unadhani nn kitatokea
Huwzi pata gari
170,000 au 175,000
 
Forum statistics

Threads 1,296,165
Members 498,559
Posts 31,236,924
Top