Looking for a job marketing positions or insurance principal officer

Denis samwel

Member
Aug 15, 2016
47
14
I'm Denis sSamwel Mwalumuli 24 age
I'm living in Tabata Barakuda, Dar es salaam
I'm looking for a job from two kinds writing above heading, marketing position or either insurance principal officer because I have graduate and very experiences in this two derpatment.

I'm ready to work any place in Tanzania if we agreed. For more information of me about my CV and more instrustions please I'm available in this contact 0717933904
0767146616

Email:denisimwalumuli@gmail.Com
 
Attachments

  • CV.docx
    9 KB · Views: 85
Kampuni za Insurance sio nyingi sana, kwanini usiandike barua uambatanishe na CV yako upeleke?Pia peleka CV Commercial Banks wana section ya Insurance
 
I'm Denis sSamwel Mwalumuli 24 age
I'm living in Tabata Barakuda, Dar es salaam
I'm looking for a job from two kinds writing above heading, marketing position or either insurance principal officer because I have graduate and very experiences in this two derpatment.

I'm ready to work any place in Tanzania if we agreed. For more information of me about my CV and more instrustions please I'm available in this contact 0717933904
0767146616

Email:denisimwalumuli@gmail.Com
Mkuu Marketing position sawa....unajuwa maana ya Principle Insurance officer?
kuwa Principle inahitaji kuwa na uzoefu wa miaka isiopungua 10-15 ya uzoefu kazini,na elimu ya Masters degree.ndio ngazi ya mwisho ktk madaraja.
anyway nakutakia kila la kheri Mkuu Denis Samweli
 
Mkuu Marketing position sawa....unajuwa maana ya Principle Insurance officer?
kuwa Principle inahitaji kuwa na uzoefu wa miaka isiopungua 10-15 ya uzoefu kazini,na elimu ya Masters degree.ndio ngazi ya mwisho ktk madaraja.
anyway nakutakia kila la kheri Mkuu Denis Samweli.

Ninachohitaji kazi sio mbwe mbwe zako
 
I'm Denis sSamwel Mwalumuli 24 age
I'm living in Tabata Barakuda, Dar es salaam
I'm looking for a job from two kinds writing above heading, marketing position or either insurance principal officer because I have graduate and very experiences in this two derpatment.

I'm ready to work any place in Tanzania if we agreed. For more information of me about my CV and more instrustions please I'm available in this contact 0717933904
0767146616

Email:denisimwalumuli@gmail.Com
mkuu leta bandiko kwa kiswahili kwa lugha uloandika hapo watu makini watapita mbali kabisa au fanyia marekebisho bandiko
 
Mweny Akili timamu atasoma na kama ana uwezo wa kunisaidia atanisaidia ila Mpumbavu na Mjinga kama ww Atapita kama ulivyopita ww.
 
kwa kidhungu chako kibovu na kukosa kwako busara (maneno machafu) sahau msaada toka humu ndani!!
 
Sina shobo nacho naandika ninachokiweza coz sijazaliwa nacho so nimekikuta tu so hakinipi shida. Labda nikujuze tu kwa ufupi maana nilikwambia wenye uelewa watanitafuta na wajinga kama ww watapita. Maelezo mafupi ni Kwamba nimepigiwa simu na office zaid ya Mbili zikinihitaji Sasa ww Endelea kukosoa kwamba kiingereza kibovu mi Sina habari [HASHTAG]#Pambana[/HASHTAG] na Maisha Kijana usipambane na Kiingereza Utajisumbua Bure
 
all the best ila jitahidi pia kuchukua negative comments n critics ktk namna positive itakusaidia maana naona mapovu mengi

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Graduate gani unaandika english mbovu hivyoo? Kama utapata kazi kwa mtu kuona hayo maombi yako hapo, nikithibitisha nakupa mshahara mzima utakaopatana nao. Najua huwezi pata kwa english hii graduate!
 
Ukisikia kuwashwaa washwaa ndio huko sasa kwani Kiingereze ndo kinakupa Pesa hapa Mjini. [HASHTAG]#Pambana[/HASHTAG] na hali yako Broken English yangu inanisaidia sasa ww Unaejua Sana Endelea Kuisoma namba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom