Dereva Wa uber na Bolt natafuta kazi

Ernestcuthbert

New Member
May 27, 2021
1
95
Habari za muda naitwa Ernest mimi ni Dereva wa uber na Bolt

Kama awali hapo mimi ni dereva wa Uber natafuta Gari ya hesabu au mkataba nina leseni class C3 na vigezo vyote vya kuendesha gari za Uber ikiwa plate number njano au nyeupe haina shida.

Also apart from Uber, pia natafuta nafasi ya self drive (dereva binfsi) pia ikipatikana nafasi.

Naomba unichek kupitia namba 0628729873 au 0686775988.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom