Ene magari

Member
Jul 28, 2021
21
24
Kwa jina Naitwa Ernest ni dereva Uber na Bolt mwenye uzoefu katika kazii hii nina leseni yenye madaraja yote nilikuwa natafutaa Gari ya kazi iwe yenye private namba Au commercial kwa ajili ya kazi '

Kwa mawasailiano zaidi

Ernest : +255628729873

Naomba ushirikiano wenu

ED4DC750-5BAB-4A33-AA9F-46C0460FB588.jpeg
 
Enaitwa Ernest ni dereva wa uber na bolt natafuta Gari ya kazi kwa ajili ya hesabu nina leseni daraja c.

Naomba mwenye gari au mwenye connection anitafute kupitia no hii 0628729873
 
natafuta gari ya kazi na Lesen Daraja c au Kazi ya private kwa upande wa uber na account zote mbili ya ube n bolt naomba mwenye gari au mwenye connection ya gari anichek kuptia no hii 0628729873
 
mimi ni dereva uber na tafuta Gari ya kazi mwenye uzoefu nina account zote mbili uber n bolt naomb mwenye gar au mwenye connection ya Gar anichk kupitia noo hiii 0628729873 '
 
 
Mimi nI dereva uber natafuta Gari ya kazi ya mkataba au hesabu.

Nina uzoefu mkubwa nina account zote mbili ya uber na bolt naomba mwenye gari au mwenye connection ya gari anichek kupitia no hiii 0628729873
 
kama awali apo juu mimi ni dereva wa Uber na Bolt natafuta Gari ya kazi ya hesabu. Nina account zote mbili ya Uber na Bolt ...na uwezo wa kuleta hesabu kila week.

Nina uzoefu kweny Kazi hii, mwenye utayari wa kufanya biashara hii Gari iwe plate ya njano Au nyeupe naomba unichek kupitia no hii
0628729873
Au
0686775988

Nipo tayari muda wowote utakao ni tafutaa
 
Kama awali nilivyosema apo juu mimi ni dereva Uber na Bolt natafuta gar ya kazi ya kuleta hesabu ndani ya week
hesabu ni makubaliano.

Gari iwe plate no nyeupe au njano n sawa tu bila shakaa.

For more info naomb mtu aliekuwa ni utayari anitafute kupitia no hii.

0628729873
0686775988
 
kama hawali apo juu mimi ni dereva bolt na uber natafuta gari ya hesabu nina account zote mbili.

Nina uwezo wa kuleta hesabu kila week.

Nina lesen class 3.

Kwa no yang 0628729873
 
Saivi hali ngumu na nauli pia bado sio rafiki wengi hesabu ni 150,000140,000, mpaka 120,000 kwa week, pia inategemea gari yako ina engine gani na hali pia ya gari. Kwa ujumla suala la mahesabu ni makubaliano. Usimlalie dereva kwa kukimbilia hela nying gari ikajuta, pia dereva awe na udhamin wa kuaminika na kueleweka maana wengi vijana hawakawii kukimbia magar ukakuta kalitelekeza au kakuletea home bovu.
 
hiyo leseni class 3...ni ya kundeshea kitu gani...?
kuna kampuni inaitwa Gardaworld ipo mikocheni b...kituo kinaitwa kwa mwinyi kampuni hiyo ni ya ulinzi...inahitaji madereva nenda ukiwa na leseni yako orginal, cheti cha shule kuanzia msingi hadi sekondary...vyeti orginal...leseni yako halali kabisa bila kusahau cheti cha kuzaliwa pamoja na namba ya nida au kitambulisho cha nida...kama unavyo vitu hivyo jumatatu fanya uende ukafanye interview...wataarifu na madereva wengine wenye uhitaji
 
Back
Top Bottom