Dereva wa uber mzoefu

eddie255

Senior Member
Oct 30, 2017
104
53
Habari wanachama wa jamii forum
Mimi ni kijana wa miaka 24 elimu yangu ni degree nina license class C na ninauzoefu wa zaid ya miaka minne barabarani. Nilikua natafuta boss wa kufanya nae kazi ya UBER kwa mkataba au kawida ila kiwango cha hesabu kiwe nafuu kulingana na ugum wa kazi. Nina account ya uber na taxify naomba ushirikiano wenu kwa mawasiliano zaid 0657142446 ahsate
 
Back
Top Bottom