Dereva wa Uber mwenye uzoefu, natafuta gari la kufanyia kazi

Drydon

Senior Member
Mar 11, 2019
125
181
Habari!

Mimi ni dereva natafuta mmiliki wa gari ambae ataruhusu gari lake kwa kazi za uber. Nikiwa kama dereva tutakubaliana kiasi cha marejesho kwa siku/wiki.

Nina uzoefu wa kazi hiyo

Account ya uber na taxify ninazo kilichobaki ni gari.

Mawasiliano: 0718286870 au 0789702863.
 
Mtu akiona hii pm anaweza akahisi nimefanikisha ila kamapuni uliyoniunganisha nayo licha kutaka marejesho makubwa kingine kilichonishinda ni kuwapa hela kabla ya kupata hiyo gari wenyewe wanaiita hiyo hela ni Bond imenishinda mkuu tusubir wenye nayo waje hapa.
Pole sana
 
We hutaki kulipa bondi? Ili siku mnaachana umrudishie gari bovu na fine za traffic za kumwaga siyo.
 
Bondi ndio nn
Mkuu mjini kuna mengi mtu anakwambia nipe laki na nusu theni nikupe gari na bado marejesho ni 30000 kwa siku na siyo mkataba sasa hiyo laki na nusu ndio wanaiita bond
 
Natafuta gari kwa kazi za ubebaji wa abiria kwa njia ya mfumo wa kisasa (online taxi) mfano Uber, Bolt & Ping. Gari iwe ya mmiliki tutakubaliana kiasi cha pesa kama rejesho katika kazi.
Kuhusu akaunti zote ninazo.

Mawasiliano: 0789 702 863
 
Habari! Natafuta gari ndogo mf Ist,vitz,nk kwa kazi za ubebaji wa abiria kwa njia ya mtandao Uber & Bolt.

Inaweza ikawa kwa hesabu au mkataba vyote nipo tayari nina uzoefu na kazi hii sasa ni miaka miwili (2).

Mawasiliano;

0789702863.
 
Habari! Natafuta gari ndogo mf Ist,vitz,nk kwa kazi za ubebaji wa abiria kwa njia ya mtandao Uber & Bolt.

Inaweza ikawa kwa hesabu au mkataba vyote nipo tayari nina uzoefu na kazi hii sasa ni miaka miwili (2).

Mawasiliano;

0789702863.
Wenye magari si mje tu
 
Watu wanasema mkishapewa gari mnaanza usumbufu
Hii ni kweli hawa madereva wengi pasua kichwa. Mimi nimeexperience (madereva wa 4) Sasa hivi mtu kama sio mlokole simpi gari. Maana angalau walokole watasumbua hesabu ila gari yako watatunza.

Dereva mmoja alichomoa rim sport kauza akaweka marim yakawaida, radio kauza na AC compressor katoa kauza kaeka mbovu. Nikamueka ndani changombe ndugu wamekuja kulia ikabidi nimwachie kibinadamu.
 
Back
Top Bottom