Dereva wa Uber anahitajika

Habari wana JF
Dereva wa uber anahitajika awe na vigezo vifuatavyo
1. Mzoefu wa kazi
2. Ana uber account active/kama huna account usipige simu
3. Mkazi wa Dar es salaam

Piga number 0746107191/0656735641
mimi nilifungua account tatzo simu sikuwa nayo so unasemaje nije unipe kadi tukamaliziee usaihili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wana JF
Dereva wa uber anahitajika awe na vigezo vifuatavyo
1. Mzoefu wa kazi
2. Ana uber account active/kama huna account usipige simu
3. Mkazi wa Dar es salaam

Piga number 0746107191/0656735641
habari kaka! mimi hapa nina uzoefu wa miaka mitatu naishi kunduchi.na account yangu ipo active.bado nafasi ipo?
 
Back
Top Bottom