Sio Titii ni TTE na Maana yake ni Ticket train Examiner yaani Mkagua Tiketi kwenye Gari moshiMimi najuwa kwenye treni kuna jamaa anaitwa Titii
Sio Titii ni TTE na Maana yake ni Ticket train Examiner yaani Mkagua Tiketi kwenye Gari moshiMimi najuwa kwenye treni kuna jamaa anaitwa Titii
Kama walivo waendesha vyombo vya moto huwa na majina rasmi mfano:
Mwendesha ndege ni Rubani
Mwendesha gari ni Dereva
Mwendesha meli ni Nahodha
Mwendesha treni au garimoshi anaitwa nani????
Sent using Jamii Forums mobile app
Ebwana wewe ni mdau wa sector hiyo? Hakuna mdau ambaye ameewahi kutoa maana ya TT kila mtu tt lakini wewe umeweka usahihi kumbe ni TTE. Kujifunza ni kila siku.Sio Titii ni TTE na Maana yake ni Ticket train Examiner yaani Mkagua Tiketi kwenye Gari moshi
Aisee ni kweli kujifunza ni kila siku binafsi sikuwahi kuwaza kuwa titii ni matamshi ya kifupi TTE.Ebwana wewe ni mdau wa sector hiyo? Hakuna mdau ambaye ameewahi kutoa maana ya TT kila mtu tt lakini wewe umeweka usahihi kumbe ni TTE. Kujifunza ni kila siku.
Huyu ni mkatisha au mkagua tiketi kwa abiriaMimi najuwa kwenye treni kuna jamaa anaitwa Titii
Huyu ni fundi wa injini ya treni, dereva ni operator.Machiniste
Sky Eclat, Joseverest, FYATU, Liwagu Kipala, PAGAN, stephot, Billy Walters II, kALEnga kidamali, Tajirimsomi, itara Penguine, R Mbuna, gentlemanx, kombaME bestmale
Anayeongoza treni huitwa KANDAWALA
NYONGEZA
*Kuku kishingo=MANGISI
*Kuku asiyetaga mayai=KIWETO
*Kuku mwenye manyoya yaliyosimama=KIDIMU
*Bata dume=GEGEDU
*Ng'ombe asiye na mapembe=GUNEGUNE
*Ng'ombe ambaye hajapandwa(nitumie neno bikra japo si sahihi)=NDONGOSA
*Bweni la wasichana=DAHALIA
*Bweni la wavulana=GANE
*Smartphone=SIKANU
KISWAHILI-Hazina ya Afrika kwa Maendeleo Endelevu.

Nimecheka kinoma.Mkuu atuambie katoa wapi hata kamusi ya karne ya 21 sijayaona hayo manenoHayo ni maneno ya kiswahili au ya kilugha chako??