jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 25,677
- 23,948
Taarifa ni kwamba dereva wa Bina laden amehukumiwa kwenda jela miaka mitano na nusu na kwasababu alishakaa Guantanamo Bay huko Cuba kwa miaka mitano...Basi anakuwa amebakiza kifungo cha miezi sita tu....Haijajulikana kama atakwenda nchi gani mara baada ya kutumikia kifungo chake hicho.