Dereva wa mtandaoni uber/ bolt natafuta gari ya mkataba au hesabu

TURTEKING

Member
Nov 4, 2020
82
150
Mimi ni dereva wa mtandaoni -uber/bolt/indrive na ping -natafuta gari ya mkataba au hesabu.

Akaunti zote zipo active.

uzoefu wa kutosha/uwaminifu mkubwa.

Gari( ist/raum/ )zitafaa zaidi sio lazima inaweza ikawa gari yoyote.

Napatikana Dar es salaam/TEGETA.

Mawasiliano 0656539177.

Asanteni
 

TURTEKING

Member
Nov 4, 2020
82
150
Mimi ni dereva wa uber_bolt_ping na indrive natafuta gari ya mkataba au hesabu
napatikana TEGETA kwa ndevu
mawasiliano 0656539177 au _0783231177
asanteni
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom