Dereva wa msafara wa JK afariki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dereva wa msafara wa JK afariki

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Lucchese DeCavalcante, Sep 27, 2010.

 1. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #1
  Sep 27, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Dereva wa msafara wa JK anayeendesha gari aina ya Freelander amefariki dunia juzi baada ya kile kinachodaiwa ni "laana" za mpemba mmoja.

  Dereva huyo (kwa sasa ni marehemu) hivi karibuni aligonga gari ya mpemba huyu kule Singida na kumtia hatiani jamaa wa watu ambaye hakuwa na kosa.

  Inasemekana madereva wenzie ambao ni polisi walimkava mwenzie ili aendelee na ulaji wa misafara ya JK na kumtia ndani mpemba huyu ambaye alilalamika kwa kusema, "yaani kugongwa nigongwe mimi halafu nawekwa ndani inshallah Mungu anaiona hii".

  Basi baada ya siku mbili yule dereva wa msafara alibadilishiwa gari na kupewa ya matangazo kwenye msafara na wakiwa njiani alianza kijisikia vibaya hadi kushindwa kuendesha gari na kusaidiwa na mwenzie na hali yake ilikuwa mbaya hadi alipokimbizwa hospitali ya mission Itigi kabla ya kuletwa Muhimbili kwa ndege ambapo alifariki dunia juzi usiku.

  Ama kweli malipo humu humu duniani..
   
 2. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #2
  Sep 27, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Mhhhhh!
   
 3. G

  Gurtu JF-Expert Member

  #3
  Sep 27, 2010
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Habari ndo hiyo. Maana kama umetendewa kosa halafu mhalifu anakufunga wewe, hii dunia imekwisha kabisa. Mungu atawapigania wasio na watetezi
   
 4. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #4
  Sep 27, 2010
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Jamaa hawajakata Insurance ya Sheikh Yahaya?
   
 5. g

  grandpa Senior Member

  #5
  Sep 27, 2010
  Joined: Aug 24, 2008
  Messages: 185
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nafikiri insurance ya Sheikh Yahya inamcover Kikwete tu.
   
 6. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #6
  Sep 27, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Ukiua kwa upanga...
   
 7. DICTATOR

  DICTATOR JF-Expert Member

  #7
  Sep 27, 2010
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  RIP dereva, ila inasikitisha kuona watu fulani kama JK an kikundi chake kuwa ndo wanaona wana haki ya kuishi na kuiongoza Tanzania kuliko wengine.
   
 8. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #8
  Sep 27, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Aisee!!
   
 9. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #9
  Sep 27, 2010
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Inaelekea insurance ya mnajimu inacover MKULU peke yake sio wapambe wake!! Kama ni hivyo basi wataondoka wengi!
   
 10. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #10
  Sep 27, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  kama ndio hivyo mbona mafisadi wanadunda mpaka leo? au Mungu maombi yangu anaya treat kama spam?
   
 11. Lady N

  Lady N JF-Expert Member

  #11
  Sep 27, 2010
  Joined: Nov 1, 2009
  Messages: 1,919
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  mhhhhh!:pray2:
   
 12. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #12
  Sep 27, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Hiyo al badr si wangepelekewa wanowanyonya watz? aka mafisadi!
   
 13. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #13
  Sep 27, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  wamezoea kukaa juu ya sheria sasa yatawatokea puani. sasa naamini hata babu seya atatoka jerezani na yote yatafunuliwa.
  naomba kama kuna mwenye namba ya huyo mpemba anitumie.nataka kukomesha hawa wanyanyasaji please mfunyukuzi.
   
 14. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #14
  Sep 27, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Mfunyukuzi, malipo gani hayo yasiyo na majuto!!! Unajua mimi huwa sioni kama kifo ni adhabu nzuri kwa mkosaji, manake ndo hayupo tena wala hana muda wa kujuta juu ya yale aliyoyafanya. Adhabu nzuri ni kuishi muda mrefu kwa mateso makali ili ajutie kabla ya kufa. Sasa huyu kaugua siku mbili na kufa, kalipwa nini hapo zaidi ya kujipatia pumziko la milele?
   
 15. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #15
  Sep 27, 2010
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  JK kamtoa kafara huyo. Watakufa wengi mwaka huu, walinzi wa sheikh Yahya wanahitaji kulishwa na hiyo ndio chakula yao.
   
 16. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #16
  Sep 27, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,292
  Likes Received: 22,068
  Trophy Points: 280
  Mungu aiweke roho ya marehemu mahali panapostahili.
  Kwa wema wake aende paradiso, na kwa maovu yake aende jehunum
   
 17. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #17
  Sep 27, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Kama ni kweli MPEMBA kafanya mambo katoa adhabu isiyostahili ingetakiwa apate mateso japo kidogo!
   
 18. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #18
  Sep 27, 2010
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,563
  Likes Received: 18,294
  Trophy Points: 280
  RIP Dereva wa JK.
  Angalizo: Death is a serious matter, kifo sio kitu cha mchezo, tusikifanyie dhihaka!.
   
 19. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #19
  Sep 27, 2010
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Nae alimkuta ile ya Aiseeeee then akakatika.....RIP Dereva
   
 20. Lady N

  Lady N JF-Expert Member

  #20
  Sep 27, 2010
  Joined: Nov 1, 2009
  Messages: 1,919
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  :confused2::confused2::confused2:
   
Loading...