Dereva wa magari makubwa ya kati namadogo.

Japo madereva wengi hutumia double hazard,sio kazi yake kama umepitia mafunzo sahihi ya udereva huna haja ya kuonesha ishara yoyote.
Aisee hili ni jibu sahihi. Madereva makini wapo, ndugu wananchi tuonganisheni na hizo fursa za kazi.
 
Aksanteni Kwa wote walionisupport na kujitolea Kwa ajili yangu, Nilipata kazi GREENWEST Nikafnya kazi lakn wakati huo nilikuwa na bidii kuomba kazi kwenye makampuni mengine makubwa, Hakika Mungu ni mwaminifu, Nikaitwa Pepsi H.D.V na sasa nafurahia maisha huku kama CR Cum Driver...

Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera, fanya kwa bidii. Usimsahau Mungu!
 
Back
Top Bottom