Dereva Wa Lori

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Jun 23, 2012
12,320
11,322
Sina budi wala pasi na shaka kwamba dereva anayedai yeye ni mzoefu ameingiza gari kwenye mto wenye mamba wakali.

Hivyo basi pasi na shaka sina budi kusema na sasa anayejua kuogelea ndio atasalimika na aliyekumbuka pia kuvaa life jacket incase kitu chochote kitokee pia atasalimika. Lakini wengine...........

hqdefault.jpg
 
Back
Top Bottom