Dereva wa Freeman Mbowe, anashikiliwa na Jeshi la Polisi

Mtaishia kulaani tu, na kutoa matamko kila siku. Makamanda tunafeli vibaya sana.
Waambie mijamaa ya mkurupuko..hawajitambiu kabisa..wangetafuta kwanza kosa alilofanya kabla ya kuanza kutoa lawama..maana unaonekana mjinga tu, na akili za kiuanaharakati zisizo na mbele wa nyuma
 
Hivi Chadema sie akina shomvi tumekosa nini?
Hadi dereva ni Urassa!hatari sana hii
hiyo roho achana nayo haitakusaidia....wewe ulichokiona kwenye uzi ni jina tu....Mungu akusaidie kukuondolea hiyo roho ya ukabila na ubaguzi unayougulia...
 
Hawa watu wakiwa sehemu lazima wata gang up na kutengeneza himaya
Watanzania tuache roho chuki, ubaguzi,hazitatufikisha pazuri...tupendane bila kubaguana kwa misingi ya ukabila,udini au ukanda....ukiona wewe.... jiwe.. ameteua watu..wewe ukakimbilia kujua wa kabila lako,au kabila lile..au wa dini yangu ni wangapi...nasema wewe ni mkabilia na mdini...na una roho ya ubaguzi...omba sana Mungu akuepushe na hiyo roho.
 
Mungu ibariki Chadema .

Bora hata huyu anajulikana alipo , mjomba wake lembeli aliyewahi kuwa dereva wa Zitto hajulikani alipo .
Mkuu, nikuambie tu ukweli nakukubali sana, ninajua ulivyo na mchango mkubwa kwa cdm na namna unavyotoa support humu jamvini kwa idea zako!
Kwa kweli una mapenzi ya dhati kabisa na cdm na ingefaa ukapatiwa kitengo ndani ya chama maana wewe ni tunu kubwa sana! Baraka unazoiombea cdm mara kwa mara naamini pia zitarudi kwako mara1000, na kudumu kwenye kizazi chako milele na milele!
Ubarikiwe mnooo...
 
Mkuu, nikuambie tu ukweli nakukubali sana, ninajua ulivyo na mchango mkubwa kwa cdm na namna unavyotoa support humu jamvini kwa idea zako!
Kwa kweli una mapenzi ya dhati kabisa na cdm na ingefaa ukapatiwa kitengo ndani ya chama maana wewe ni tunu kubwa sana! Baraka unazoiombea cdm mara kwa mara naamini pia zitarudi kwako mara1000, na kudumu kwenye kizazi chako milele na milele!
Ubarikiwe mnooo...
Amina .
 
Hivi Chadema sie akina shomvi tumekosa nini?
Hadi dereva ni Urassa!hatari sana hii
Eti eeh kama CCM akina Doto wanavyoshikilia hazina ya Taifa. Bora huyu anamuendesha mchanga mwenzake. Hata Mimi kwa usalama nchi ilipofikia dereva wangu lazima awe mtu ambaye ninamfahamu na ikibidi niwe na nasaba nae
 
Fanya organization siku ya kesi tarehe 06/12 wakileta ujinga tukiwashe,
Tunahitaji kumwambia JPM kwamba tumechoka sasa!! Tunahitaji kumkumbusha kwamba hii nchi msingi wake wa kihistoria sio kama Uganda, Rwanda, Burundi au Congo.
Tunapaswa kumkumbusha kwamba Tanzania imejengwa katika misingi ya Amani,Upendo,Umoja na Mshikamano.
Tunahitaji kumueleza kuwa katika nchi yetu kukosoana na kushauriana si dhambi kwani ni njia mojawapo katika kukuza maendeleo ya taifa letu!!
Tunahitaji kumkumbusha kwamba upinzani sio uadui wala uasi katika taifa na ndio maana unatambulika na katiba,sheria na kanuni za taifa letu.
Tunahitaji kumwambia kwamba nchi hii ni yetu sote,na kila mtu ana haki ya kuishi na kufanya atakavyo ilmradi asivunje katiba,sheria na kanuni za nchi yetu na hivyo, chuki,ubaguzi,uonevu,uoga,unafiki na kujipendekeza havina nafasi katika taifa letu.
Haya mambo yote hayawezi kufanyika matamko na laana.Kama Kenya wangeishia kwenye matamko na kulaani tu tusingekuwa tunaona haya tunayoyaona Kenya, kama Wazee wetu wangeishia kwenye matamko na kulaani,Africa isingepata Uhuru!!
WE HAVE TO DO SOMETHING SPECIAL!!!
Tuamke sasa!!!
 
Hamna ubavu huo.hamna wa kuwaunga mkono.zama hizo ilikuwa chadema ya kina dk slaa..Zama zimebadilika
Nakuna kada john ukiwa na bashite,umenawiri siku hizi kwa buku5 tu za lumumba
tapatalk_1541403796596.jpeg
 
You are into The tragedy simply because the unlawful and disobedience initiatives you are planning against the government can't be tolerated by any regime in the world. MAGUFULI hakuwepo mahakamani. Ukiambiwa utii bila shuruti unakunja ngumi.

Kanyama

Kadanganye watoto wasiojua lolote!

Kingereza kibovu,mikwara yako ni mibovu......Hakuwepo mahakamani,ni kweli,ila nenda kandanganye watoto wasiojua lolote!

Nipange anything against govnt for wht hasa mzee?Sina muda huo,mimi ni mwananchi tu,najua kura yangu na familia yangu hatutapiga CCM kamwe...thats what I can do!..Nyie tawaleni mnavyojisikia,hakuna mtu atawafata for anything..mi kura yangu nasubiri 2020 tu ndio nina haki nayo!

Hivi mnaona waTZ ni wajinga sana?

Tunawasubiri tu 2020,hakatizi mtu!
 
Jibu unalo wewe binafsi. Kwa jinsi ulivyo kilaza hata nkeo atakusaliti siku ya uchaguzi. Huyo dreva angetii alipoambiwa aache kelele mahakamani nani angemkamata. Ulivyo hamnazo unamhusisha MAGUFULI kwenye upuuzi huo. Kuna wafuasi wa chadema wangapi walio na kesi mbona huwa hawakamatwi. Huu mziki mtaucheza tu hata kimoyomoyo. Hicho kiingereza chako bora kiko wapi sasa. What a shithole #$$.

Kanyama wewe ni mtu wa ajabu kabisa...Im sorry for this,first off:

-Nkeo=Mkeo

Ni maajabu sana na inaboa sana iwapo Mswahili kama wewe unakosea kuandika Kiswahili sahihi kwa vitu vidogo namna hii.Kama Kiswahili unafeli namna hii,lugha gani dunia hii utakua fluent kama wewe sio disgrace to Tanzanian people?

Mke wangu na ukoo wangu wote hawawezi nisaliti,wao ndio wananishawishi mimi nisitoe kura CCM...Sasa sijui umegeuka prophet lini ujue kua watanisaliti?

Kilaza siwezi kua mimi maana sipo na sitakaa niwe CCM,vilaza ni proven wapo CCM!Kuna Masters dessertation ya mtu kabisa kapatia degree yake ya Masters baada ya kugundua correlation of poverty na poor mental fitness with supporting of CCM,akagundua there is a very strong correlation!Sasa kwa vile wewe sio kilaza andaa research umpinge yeye kama unaweza!

Sijamtaja jiwe kokote,na sina haja,na sitakaa nimtaje mahali au popote maana sina muda huo!

Yaelekea wewe unajua sana kuhusu kesi za watu,enlighten us about!

Hamnazo ni wewe unaedhani kuna mtu anamuongelea boss wenu,I wonder sijui unaogopa au kukasirika nini mtu/watu wakimuongelea?Sijui una babaika nini hasa?Kama hamtaki kuongelewa si mfunge ofisini muende kulima huko Chattle?Mbona waoga namna hii?You people are so worked out on some random internet fictional characters like me and you talking?Jeez!

Sasa sijui anaeucheza mziki ni nani hasa?Ni mimi au wewe unaekaa kwa woga mkubwa ukiogopa mtu kuandika a paragrah on internet about you?Kuna mateso dunia hii zaidi ya woga?Woga=Weak...you people are so weak!

Nina Kiingereza na Kiswahili sahihi kukuzidi wewe,thats clear,hupendi andamana!Kwanza Kiswahili cha NKEO ni cha kipumbavu sana,need me say more?

I ain't got no time for dimes and nickels coz they don't hold no weight!
 
Back
Top Bottom