Nimecheka sana duh..eti honi mbili kwa presha akeeeeeππsijui mnawzaga nini jamaniSasa ulitaka nifanyaje, hizi honi ni kwajili yenu...
Na kesho naapiga Honi Mbili Kwa Preshaa Akeeee
Akapande fisiHama tu mkuu..
presha akeeeSasa ulitaka nifanyaje, hizi honi ni kwajili yenu...
Na kesho naapiga Honi Mbili Kwa Preshaa Akeeee
Usisahau ule ugonjwa mwingine hautaki kelele,bush...Dereva wa treni la Mwakyembe wa jioni hii wacha upumbav*, njia nzima unapiga honi tena kwa nguvu kubwa, hujui pembeni ya reli kuna wakazi na wengine wana magonjwa ya moyo na presha??
Nimecheka hadi nikadondosha sahani ya wali choroko ππππππππππππππππππππππππππππSasa ulitaka nifanyaje, hizi honi ni kwajili yenu...
Na kesho naapiga Honi Mbili Kwa Preshaa Akeeee
Labda alikuwa anauliza abiria kama wanaendaDereva wa treni la Mwakyembe wa jioni hii wacha upumbav*, njia nzima unapiga honi tena kwa nguvu kubwa, hujui pembeni ya reli kuna wakazi na wengine wana magonjwa ya moyo na presha??